album cover

Mapambano

358Afro-Pop2025
album cover
Mapambano was released on June 20, 2025 by Ziiki Media as a part of the album Mapambano - Single
ReleasedJune 20, 2025
LabelZiiki Media
BPM91
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Lyrics

[Verse 1]
How do you feel when you pull a trigger
Kill a life take a soul kill somebody son
How do you feel ukikaa kwa hiyo kiti
Watch the TV see the people cry
How do you feel vijana wakiuwana?
Juu umepeana soo tano
How do you feel ukiahidi uwongo?
Unatupima ubongo
[PreChorus]
Nasema woi woi nchi yetu inabakwa inabakwa
Nalia woi woi imebakwa na mafala
Woi woi wanafanya wanavyotaka
Nasema woi woi sisi wote tuungane
[Chorus]
Wakenya msilale lale bado ni mapambano
Mama mboga usilale lale bado ni mapambano
Boda boda msilale lale bado ni mapambano
Gen Z tusilale lale bado ni mapambano
[Verse 2]
Under pressure under pressure under pressure
Tuko under pressure kila mtu under pressure
Hakuna haki hakuna amani hakuna pesa
Viongozi wakitesa wananchi tunateseka
[PreChorus]
Nasema woi woi wamenyonga mitambo
Nalia woi woi hatununui uwoga
Woi woi wanafanya wanavyotaka
Nasema woi woi sisi wote tuungane
[Chorus]
Wakenya msilale lale bado ni mapambano
Mama mboga usilale lale bado ni mapambano
Boda boda msilale lale bado ni mapambano
Gen Z tusilale lale bado ni mapambano
[Outro]
Bado ni mapambano
Bado ni mapambano

Shazam Footer

Select language:
Google Play Store
Apple App Store
Chrome Web Store
Galaxy Store

Follow Us

Loading...