album cover
Polisiman
2,660
Music
Polisiman was released on March 21, 2008 by Sony Music Entertainment East Africa as a part of the album Sauti na Vyombo
album cover
Release DateMarch 21, 2008
LabelSony Music Entertainment East Africa
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM102

Credits

PERFORMING ARTISTS
Ferooz
Ferooz
Performer
Maunda Zorro
Maunda Zorro
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Paul Peter Matthijsse (P-Funk Majani)
Paul Peter Matthijsse (P-Funk Majani)
Composer, Lyrics
PRODUCTION & ENGINEERING
P-Funk Majani
P-Funk Majani
Producer

Lyrics

Una thamini wenye mali
Tabaka la chini ukitukuta shari ( shari )
Tena uliapa tayari
tayari kujenga taifa pasipo dosari
Mr police police police man
Tuna ku-diss ku-diss ku-diss kitaani
Mr po po po police man
Tuna ku-diss ku-diss ku-diss mtaani
Mr police police police man
Tuna ku-diss ku-diss ku-diss kitaani
Mr po po po police man
Tuna ku-diss ku-diss ku-diss mtaani
Juzi ulikamata mbakaji
Leo yupo huru tuulize mahakama au jaji? Aah
Kwenye mataa inazidi nusu saa
Ajali mbaya imetokea we unalewa bar
Tunaita mwizi, Mwizi chizi
We unaukaribisha usingizi
Ulipo nikuta na majani we ulinipiga pingu
Ukanisweka ndani
Kama nini nisha vuna aah
Ukanichukulia mapene bila tuhuma aah
Biashara ya madawa ya kulevya inakua
Kila kukicha
Mateja wananyeta tena na chaukucha
Kupambana nasi we yataka ule ushibe eeh
Acha pengo majemedari wazibe
Oooh
Una thamini wenye mali
Tabaka la chini ukitukuta shari ( shari )
Tena uliapa tayari
tayari kujenga taifa pasipo dosari
Mr police police police man
Tuna ku-diss ku-diss ku-diss kitaani
Mr po po po police man
Tuna ku-diss ku-diss ku-diss mtaani
Mr police police police man
Tuna ku-diss ku-diss ku-diss kitaani
Mr po po po police man
Tuna ku-diss ku-diss ku-diss mtaani
hands up , hands up, hands up mikono juu
Ghafla anatubambikia kesi
hands up , hands up, hands up Wote mikono juu anahitaji cash
Hakuna kidhibiti masela uzushi unapiga mtu
Mpaka anashindwa kuishi
Umeniharibia ata kwa wangu wa ubani mpenzi
Eti mimi tapeli, kudumu nae siwezi
Kumbe unamrubuni moyoni unamtamani
Tabia za kutaka wake za watu itakutokea puani
Kwenye radio-call ita na wenzako
Pande zote mnitafute mkaanza msako
Nikiwa kwenye pilika napigika na njaa
Walipotokea masela wote tukatambaa
Nyuma kigofu nilikimbia kwa hofu
Nusura mapolice wanitoe mnofu
Nyuma kigofu nilikimbia kwa hofu
Nusura mapolice wanitoe mnofu
Una thamini wenye mali
Tabaka la chini ukitukuta shari ( shari )
Tena uliapa tayari
tayari kujenga taifa pasipo dosari
Mr police police police man
Tuna ku-diss ku-diss ku-diss kitaani
Mr po po po police man
Tuna ku-diss ku-diss ku-diss mtaani
Mr police police police man
Tuna ku-diss ku-diss ku-diss kitaani
Mr po po po police man
Tuna ku-diss ku-diss ku-diss mtaani
Una thamini wenye mali
Tabaka la chini ukitukuta shari ( shari )
Tena uliapa tayari
tayari kujenga taifa pasipo dosari
Mr police police police man
Tuna ku-diss ku-diss ku-diss kitaani
Mr po po po police man
Tuna ku-diss ku-diss ku-diss mtaani
Mr police police police man
Tuna ku-diss ku-diss ku-diss kitaani
Mr po po po police man
Tuna ku-diss ku-diss ku-diss mtaani
Mr police police man ( Shari , shari )
Po po po police man (Shari eeeh )
Mambo unayapeleka holela, holela, holela
Kila kitu holela holela
Wakush majita *** masela wasio na hatia wapo
Jela na ****
Aaah ahh
( Shari shari )
Mambo unayapeleka holela , holela ,holela
Kila kitu holela holela
Wakush majita suicide masela wasio na hatia wapo
Jela na machela
Aaah ahh
Mambo unayapeleka holela , holela ,holela
Kila kitu holela holela
Wakush majita suicide masela wasio na hatia wapo
Jela na machela
Written by: Ferooz, Paul Peter Matthijsse (P-Funk Majani)
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...