album cover
Nikupe Nini
album cover
Nikupe Nini was released on October 10, 2003 by Sony Music Entertainment East Africa as a part of the album Taswira
AlbumTaswira
October 10, 2003
LabelSony Music Entertainment East Africa
BPM89
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Music Video

Music Video

Lyrics

Gijiiaa Gijiiaaa
Son ManDojo in f.e.a.t Domokaya Fellow
P-Funk
Majani ya bustani
Majani ya bustani
Nikupe
Nikupe nini mpenzi
Nikupe
Nikupe nini uridhike
Nikupe
Nikupe nini honey
Nikupe
Nikupe beibe
Ama Nikupe moyo wangu uusumbue
Ama nikupe nafsi yangu uichukue
Ama nikupe vidani vya dhahabu beibe
Hamna shaka utapa lakini nisinge penda uende kwa kule
Hamna shaka utapa lakini nisinge penda uende kwa kule
Ujue nakupenda mpenzi
Ujue nakupenda
Ujue nakupenda mpenzi
Ujue nakupe
Mapenzikuvumilia sio kuyumba
Wachochea nguo wadai una mimba
Ningejua mapema kweli nnge achia kamba
Ningesubiri Mola angenipa dem bomba
Ningempata kibibi au Nyavasamba
Ningechagua tuishitown au tuishi shamba
Lakini ninge na sa naachia kamba
Tukutane tena kwa jiji la makamba
Mandojo naomba mpenzi
Knock knock
Nikupe nikupe nini mpenzi
(Ya wapambe wala usitamani)
Nikupe nikupe nini uridhike
(Uzidi kunitia mi moyoni )
Nikupe nikupe nini honey
(Tuzidi kupendana )
Nikupe nikupe beibee
Sikusubiri kumwaga sera kipenzi uzame kwangu mswazi
Kutimba kizazi jeuri mighty melody ikawa si kazi
Sielewi kilicho kusibu tija kuanza zako juzi kati
Usha sahau fadhila bibie nakuita unasema staki
Mangapi nimekusave hata kudundwa nusu kudanja
Nikikumbuka huwa nalia halafu natulizia na ganja
Ni sister wa kusifika kitabia upungufu nnaongea
Sijawahi kumruhusu kuzira namuomba radhi hata akinikosea
Kanigadhabisha zaidi alipojieleza ana mimba
Anavimbisha kitumbo nielewe ndani ana kinda
Kuitunza haikuwa noma kilichokera kunipa homa
Kankamulie maji ya machungwa nna kiu koma
Haya mwezi wa kumi wa kumi na moja huo kwenye kona
Wa kumi na mbili umetinga nadai mwanangu unanuna
Si nikastukia nilikuwa nahudumia tambalaa
Na bado nimekolea sihesabu hizo hasara
Nikupenini uridhike ni mkong'oto au maradhi
Sifanyi malipizi ila jifunze adabu mpenzi
Nikupe Nikupe nini mpenzi
Yei yei yeeeeeeee
Yei yei yeeeeeeee
Chorus : ManDojo & Domokaya]
Nikupe Nikupe nini mpenzi
Nikupe Nikupe nini uridhike
Nikupe Nikupe nini honey
Nikupe Nikupe beibe
Written by: Mandojo & Domokaya
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...