album cover
Ananipenda
album cover
Ananipenda was released on September 25, 2025 by WINNING MUSIC as a part of the album Bumbuli Boy - EP
September 25, 2025
LabelWINNING MUSIC
BPM99
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Music Video

Music Video

Lyrics

Ananipenda nipenda ananipenda
Me nampenda mpenda nampenda
Verse 1
Yatima wa mapenzi mnisamehe
Nimepata ka baby
Kameukunja kunja moyo wangu
Kameutia kwa bag
Na nacheza rumba ndanii
Shahidi kitanda (kitandaa)
Na kama ndumba pwanii
Ye ndo mganga
Nitampiga picha nitawaonyesha
Tena bila filter nitawaonyesha
Nitampiga picha nitawaonyesha
Tena bila filter nitawaonyesha
Chorus x 2
Ananipenda nipenda ananipenda
Me nampenda mpenda nampenda
Verse 2
Amenipa lawa lawama kwa wana
Siku hizi siwapigii
Na amezua balaa nikipita sioni
Siku hizi sisalimii
Ana matashtiti
Sijaambiwa na ona
Siwezi kumcheat
Nipigeni mkiniona
Nitampiga picha nitawaonyesha
Tena bila filter nitawaonyesha
Nitampiga picha nitawaonyesha
Tena bila filter nitawaonyesha
Chorus x 2
Ananipenda nipenda ananipenda
Me nampenda mpenda nampenda
Written by: Kusah
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...