album cover
Wange
album cover
00:10
00:15
00:30
00:50
00:55
01:00
02:35
00:00
02:49
Past 7 Days
Wange was discovered most frequently at around 55 seconds into the song during the past week

Lyrics

[Verse 1]
Leo toka asubuhi baby nimekukumbuka sana
Ninatamani kukuona ata video call
Ndio kwanza asubuhi baby ndio nimeamka mapema
Sitaki chochote kukiona cha kwanza wewe baby
[PreChorus]
Unajua mapenzi ni uhayawani
Mbora kwenye mapenzi ni punguani ai weh
Ukiwa timamu sana haviendagi
Ukileta akili nyingi havidumungi
[Chorus]
Mwenzenu nimekwisha
Kwisha moyo wange kwisha moyo wange
Mahaba umenimaliza hata usinigange
Kwisha moyo wange kwisha moyo wange
Mahaba umenimaliza hata usinigange
[Verse 2]
Mtu kama wimbo mara unajirudia kichwani
Upendo wako umezidi kilo haupimiki mizani
Tena umenifahamu ningekua mtihani ooh
Maisha yangu bila wewe kama niko hatiani
[PreChorus]
Unajua mapenzi ni uhayawani
Mbora kwenye mapenzi ni punguani ai weh
Ukiwa timamu sana haviendagi
Ukileta akili nyingi havidumungi
[Chorus]
Mwenzenu nimekwisha
Kwisha moyo wange kwisha moyo wange
Mahaba umenimaliza hata usinigange
Kwisha moyo wange kwisha moyo wange
Mahaba umenimaliza hata usinigange
Written by: Idd Mohamed Ngomba
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...