album cover
Ramani
album cover
Ramani was released on September 19, 2025 by 10402509 Records DK as a part of the album Ramani - Single
September 19, 2025
Label10402509 Records DK
LanguageEnglish
BPM157
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Music Video

Music Video

Lyrics

Niliona Ramani ya Mbinguni
Yenye njia nyembamba finyu sana
Watakao ingia Njia ile
Watakaribishwa na Bwana yesu
Asema karibuni ingineni
Poleni na masumbuko ya dunia
Kuyashinda majaribu ya shetani
Ingieni kwenye raha ya Milele
Wakati ndio sasa kutengeneza
Mapito na njia zako ewe rafiki
Usije kosa anasa halisi za mbinguni
Ukaomboleza katika ziwa lile la moto
Written by: Mzinga Youth Choir
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...