album cover
Mavuno
album cover
Mavuno was released on December 13, 2025 by 10402509 Records DK as a part of the album Mavuno - Single
December 13, 2025
Label10402509 Records DK
BPM96
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Music Video

Music Video

Lyrics

Mavuno Mengi yamejaa shambani
Lakini wavuni nao wachache
Bwana wa mavuno anauliza
Ni nani atakaye kwenda
Apate kuvuna shambani mwangu
Ni wajibu wetu sote mimi na wewe
Tupeleke injili ya Bwana kote kote
Watu wasiangamie ukiwepo
Jihusishe
Usiwe mtazamaji nenda
Wahubiri wengine habari za yesu
Mkombozi mwokozi mfariji
Mwenye rehema anawapenda wote
Jihusishe
Usiwe mtazamaji nenda
Wahubiri wengine habari za yesu
Mkombozi mwokozi mfariji
Mwenye rehema anawapenda wote
Jihusishe
Bwana auliz nimtume nani
Naye ni nani atakaye kwenda
Ndugu Mshiriki
Inakupasa kusema Unitume mimi Niko Tayari kukutumikia
Hivi karibuni Bwana yesu yuaja
Lakini watu wake bado hawajasikia
Jumbe za matumaini
Hivyo ndugu yangu Jihusishe
Usiwe mtazamaji nenda
Wahubiri wengine habari za yesu
Mkombozi mwokozi mfariji
Mwenye rehema anawapenda wote
Jihusishe
Usiwe mtazamaji nenda
Wahubiri wengine habari za yesu
Mkombozi mwokozi mfariji
Mwenye rehema anawapenda wote
Jihusishe
Written by: Giliard Sospeter Danstan
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...