album cover
Mjumbe
album cover
Mjumbe was released on March 20, 2026 by 10402509 Records DK as a part of the album Mjumbe - Single
March 20, 2026
Label10402509 Records DK
BPM100
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Music Video

Music Video

Lyrics

Mimi ni mjumbe wa kazi ya Bwana
Nimeitwa na yesu kufanya kazi
Niwalete watu zizini mwake
Wapate Nuru ya Uzima
Mimi ni mjumbe wa kazi ya Bwana
Nimeitwa na yesu kufanya kazi
Niwalete watu zizini mwake
Wapate Nuru ya Uzima
Nitakwenda Nikimtumaini Yesu
Milimani hata mabondeni
Maana Bwana atanipa ushindi
Aaaah Aaah Nayaweza yote kwake Anitiaye nguvu Ninamtumaini yesu
Nitakwenda Nikimtumaini Yesu
Milimani hata mabondeni
Maana Bwana atanipa ushindi
Aaaah Aaah Nayaweza yote kwake Anitiaye nguvu Ninamtumaini yesu
Japo shetani ananiandama
Nidhoofike kuifanya kazi
Nikimtumaini mwokozi wangu
Nitapata ushindi ushindi hakika

Written by: Giliard Sospeter Danstan
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...