album cover
Nawe
album cover
Nawe was released on April 15, 2026 by OSPO MUSIC GROUP as a part of the album Moses Luka - EP
April 15, 2026
LabelOSPO MUSIC GROUP
BPM85
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Music Video

Music Video

Lyrics

[Verse 1]
Tabasamu mimi, niliona tu kwa majirani
Sikuwa na hali maskini
Maisha yangu yalijaa maswali
Why me, why me?
Hakuna swali nilopata majibu
Why me, why me aaah?
Maumivu yangu yalikosa tabibu
[PreChorus]
Kumbe ulikuwa ukiijenga thamani yangu
Na kuandika upya historia yangu
Walionicheka na kunidharau
Sasa wana taharuki
Umeyafuta machozi kwenye mboni zangu
Na kurejesha vyote vilivyo vya kwangu
Huu wimbo baba si kwa ajili yangu
Kwa ajili yako
[Chorus]
Acha niseme waziwazi Bwana umenibariki
Umenijibu kwa wakati amani umenikabidhi
Acha niimbe waziwazi tena nipaze na sauti
Sijafika hapa kwa ujasiri
Ni mkono wako umenisitiri ndio maana nitabaki nawe
Nawe nawe nawe
Ndio maana nitabaki nawe
Nawe nawe nawe
Ndio maana nitabaki nawe
Nawe nawe nawe
Ndio maana nitabaki nawe
Nawe nawe nawe
[Verse 2]
Ni kweli ukiahidi we watekeleza
Haufeli na ukianzisha jambo walimaliza
Ni heri kuwa na wewe kwenye maisha
Ulinifanya hodari, walipotabiri mwisho wangu
[PreChorus]
Kumbe ulikuwa ukiijenga thamani yangu
Na kuandika upya historia yangu
Walionicheka na kunidharau
Sasa wana taharuki
Umeyafuta machozi kwenye mboni zangu
Na kurejesha vyote vilivyo vya kwangu
Huu wimbo baba si kwa ajili yangu
Kwa ajili yako
[Chorus]
Acha niseme waziwazi Bwana umenibariki
Umenijibu kwa wakati amani umenikabidhi
Acha niimbe waziwazi tena nipaze na sauti
Sijafika hapa kwa ujasiri
Ni mkono wako umenisitiri ndio maana nitabaki nawe
Written by: Moses Luka
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...