album cover
Kesho
album cover
Kesho was released on April 15, 2026 by OSPO MUSIC GROUP as a part of the album Moses Luka - EP
April 15, 2026
LabelOSPO MUSIC GROUP
BPM114
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Music Video

Music Video

Lyrics

[Verse 1]
Furaha ndio lugha mi ninaongea
Kati nyakati ya mema na mabaya
Kisichoniua mimi kina nijenga
Kwa imani natembea bila uoga
Nikianguka leo kesho mi nitasimama
Maana palipo nia panakuaga na njia
Huwezi kuwa mshindi bila ya vita
Hatua zangu thabiti najua nitafika
[PreChorus]
Na wala sina wivu na waliofanikiwa
Maisha foleni najua inasogea
Kila mtu ana muda wake
Najua wangu ni leo ama kesho
Na nikifanikiwa mimi sitabadilika
Nitabaki yule yule kama kawaida
Nikisherekea muda wangu ambao
Ni leo ama kesho
[Chorus]
Leo ama kesho
Leo ama kesho
Leo ama kesho
Leo ama kesho
[Verse 2]
Kidogo ninacho ndio kina nilea
Nisichokua nacho sina tamaa
Mungu akinipa moja ninaridhika
Nikiamini kesho mengi yanakuja
[PreChorus]
Na wala sina wivu na waliofanikiwa
Maisha foleni najua tunasogea
Kila mtu ana muda wake
Najua wangu ni leo ama kesho
[Chorus]
Ama kesho ama kesho
Ama kesho
Leo ama kesho
Leo ama kesho
Leo ama kesho
Leo ama kesho
Leo ama kesho
[Outro]
Na sitabadilika mimi nikibarikiwa
Nitabaki yule yule kama kawaida
Nikisherekea muda wangu ambao
Ni leo ama kesho
Written by: Moses Luka
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...