album cover
Saladi
album cover
00:15
00:40
01:00
01:05
01:15
01:45
02:00
02:05
03:25
00:00
03:39
Past 7 Days
Saladi was discovered most frequently at around 40 seconds into the song during the past week

Music Video

Music Video

Lyrics

[Verse 1]
Life goes on
Nishamove on
Nilipotoka tofauti na siku za usoni
Nina amani moyoni
Walianza cheka wao ntacheka mimi mwishoni
Aah mwishoni
Nilimuona ndotoni sasa yupo moyoni
Ndo yule ambaye nikichoka anibeba mgongoni
Kwani nyie hamuoni
Tunapendana hadi twafanana usoni
Eeeh eeh ah
[PreChorus]
Muoneni mpenzi wangu anavyoshine
Nampa mapochopocho wali maini
Ah, saladi saladi
Kachumbari kachumbari
Ye na mi
Utakubali
[Chorus]
Ah eeeh eeeh eeeh
Mshanipora sana ila huyu mwacheni
Nipo chini ya miguu yenu waja nawaombeni
Nampenda
Namtaka
Oh yah
[Chorus]
Ah eeeh eeeh eeeh
Mshanipora sana ila huyu mwacheni
Nipo chini ya miguu yenu waja nawaombeni
Nampenda
Namtaka
Oh yah
[Verse 2]
Siku ya harusi ntacheza kigodoro
Ntafunga mtaa na mpaka vichochoro
Watu watakula kunywa mpaka tomorrow
Yaani furaha (Ni furaha)
[PreChorus]
Muoneni mpenzi wangu anavyoshine
Nampa mapochopocho wali maini
Ah, saladi saladi
Kachumbari kachumbari
Ye na mi
Utakubali
[Chorus]
Ah eeeh eeeh eeeh
Mshanipora sana ila huyu mwacheni
Nipo chini ya miguu yenu waja nawaombeni
Nampenda
Namtaka
Oh yah
[Chorus]
Ah eeeh eeeh eeeh
Mshanipora sana ila huyu mwacheni
Nipo chini ya miguu yenu waja nawaombeni
Nampenda
Namtaka
Oh yah
[Outro]
Nampenda penda
Ni mmoja tu
Niachieni huyu
Written by: Sarah Michael Kitinga

Loading...