album cover
Guard
Hip-Hop/Rap
Guard was released on July 16, 2026 by Most Wanted Records as a part of the album Gemini 2
album cover
Release DateJuly 16, 2026
LabelMost Wanted Records
LanguageEnglish
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM102

Credits

PERFORMING ARTISTS
Dennisleon Mwaniki Kariuki
Dennisleon Mwaniki Kariuki
All Instruments, Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Dennisleon Mwaniki Kariuki
Dennisleon Mwaniki Kariuki
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Dennisleon Mwaniki Kariuki
Dennisleon Mwaniki Kariuki
Producer

Lyrics

Hizi streets sio safe so usi try kuangusha guard
Strain after strain nimeshinda siku mzima niki burn
Walidhani me ni saint so hawakujua thiang iki perch
Kiswahili ni ya K na sibongi ju ya gas
Kiswahili ni ya J so usistuke ukinunua
Nishai survive mwaka mzima niki tundura
Ka ni Mungu leta hatuezi shindwa kuchukua
Usiende kusema tulikupona na akuna mtu aliku danzua
Usiende kusema tuli kupona na we ndio uliangusha guard
Nika ku mark we ni fafu wa kukam
So tukigongana round 2 kukaribishwa is a must
Ni either ucoperate au niache ka nime ku shank
Ni either niache umetoa gembe au niache ukitoa dibla
Either way lazima itaitika
Ka ni Kanairo mayut wamekaza ndina
So ka hujai lalishwa mjaste we jua siku yako inafika
So ka hujai lalishwa mjaste we jua siku yako inakam
Very soon aiko far
Omba Allah tusiwai gongana nikiwa njaa
Ju naeza fanya adi uchukie ule mtu alikuzaa
Naeza ku fanya mbaya adi ushindwe ku bounce back
No cap naishi kienye na rap
Naeza ku ching April ukuje ku recover march
Io ni karibu mwaka mzima ukiwa umelazwa kwa ward
Io ni karibu mwaka mzima ukiwa umedoz kwa bedi
Huwezi oga huwezi nyora huwezi denki
Nilikuambia leta io tenje ukadhani me ni Lenny
Ulidhani ni prank sai uko na stitches kwa belly
Una wish unge resist ju bado ungekuwa healthy
Pia me nikiwa mtoi sikuwa na wish ya ku grow up kuwa thegi
Nakumbuka mode wa mao akiniambia sitai make it
Ju ya io story tukipatana naacha ka nimemteki
Hizi streets sio safe so usi try kuangusha guard
Strain after strain nimeshinda siku mzima niki burn
Walidhani me ni saint so hawakujua thiang iki perch
Kiswahili ni ya K na sibongi ju ya gas
Kiswahili ni ya J so usistuke ukinunua
Nishai survive mwaka mzima niki tundura
Ka ni Mungu leta hatuezi shindwa kuchukua
Usiende kusema tulikupona na akuna mtu aliku danzua
Usiende kusema tuli kupona na we ndio uliangusha guard
Nika ku mark we ni fafu wa kukam
So tukigongana round 2 kukaribishwa is a must
Ni either ucoperate au niache ka nime ku shank
Ni either niache umetoa gembe au niache ukitoa dibla
Either way lazima itaitika
Ka ni Kanairo mayut wamekaza ndina
So ka hujai lalishwa mjaste we jua siku yako inafika
Written by: Dennisleon Mwaniki Kariuki
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...