album cover
Bruno
9
Hip-Hop/Rap
Bruno was released on July 16, 2026 by Most Wanted Records as a part of the album Gemini 2
album cover
Release DateJuly 16, 2026
LabelMost Wanted Records
LanguageEnglish
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM70

Credits

PERFORMING ARTISTS
Dennisleon Mwaniki Kariuki
Dennisleon Mwaniki Kariuki
All Instruments, Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Dennisleon Mwaniki Kariuki
Dennisleon Mwaniki Kariuki
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Dennisleon Mwaniki Kariuki
Dennisleon Mwaniki Kariuki
Producer

Lyrics

Nilianza ku trap tangu nikuwe youngin
Sai niko kwa field niki score
Man of the match ka Bruno ju bao ilikua classic
Na sina time ya ku brag ju niliingia ka sub
Na nikaacha ka nimefunga hatrick
We ukiwa kwa booth ukicap
Me nilikuwa kwa block niki chill na ma junkie
Me nilikuwa kwa block niki chill na ma junkie
Nilianza ku trap tangu nikuwe youngin
Sai niko kwa field niki score
Man of the match ka Bruno ju bao ilikua classic
Na sina time ya ku brag ju niliingia ka sub
Na nikaacha ka nimefunga hatrick
We ukiwa kwa booth uki cap
Me nilikuwa kwa block niki chill na majunkie
Yoh
So ka Stephen me na we hatuwezi kuwa even
Na ukiangalia scoreboard inakaa tu odd
Ile doh me uingiza daily ndio we uingize
Labda uuze kila kitu yako na uchukue loan
Nakumbuka izo enzi nikiwa trapped in the system
Ju nilikuwa nimekosa kapa chwani ka kulipa bond
Sai bro ukojolea kapa chwani every weekend So akuna vile unaeza niambia story ya ku ball
So akuna vile unaeza niambia story ya kuroria
Na akuna siku adi moja nishai kuona ukisplah
Nilienda hosi nikaambiwa niko na broke fobire
So kwa pori sifai kukaa bila cash
Ka sipigi drop niko kwa block niki hogia
Nikingoja hao ma cats walete izo ma ngat
Na sina time ya ku nego ka Bonsia
Ka ufiki bei enda uvute izo nyaru za ras
Yoh coz I dont give a F
Ju adi usipo fika bei kuna mwenye ata fika
Na bado sio lazima uvute ki F
Unaeza vuta tu ki runya na u imagine zimeshika
Niko na manjege ka saba kwa payroll
Kila siku ya wiki kuna mbanga anaguzishwa
Last year nilikuwa na plans za ku commit suicide
This year niko na plans za kuanza kuitwa mziza
Enyewe life ime change
Ingekuwa back in the day sai ningekuwa njei niki kaza
Walituambia crime does not pay
Ndio tuingize matwada na tukae kwa dimanga
Nakumbuka mode wa mao akinambia sitai make it
So ikabaki nime mpona gembe ndio prove ye ni fala
My worst nightmare ni kufa nikiwa broke
So nitaishi ku stark adi ile siku kitaniramba
Nitaishi ku stack ka Kannan adi dakika ya 90
Ju Mukoro alinambia pesa haifai kuonyeshwa jua
As long as napumua
Utanipata kwa field ka Maguire nikiwachukua
The fact ni ati system imefail
So akuna siku utai skia crime imepungua
Na ndio maana tukikunia si hukunia hadharani
So ukiniona kwa news usiende kusema unanijua
Nilianza ku trap tangu nikuwe youngin
Sai niko kwa field niki score
Man of the match ka Bruno ju bao ilikua classic
Na sina time ya ku brag ju niliingia ka sub
Na nikaacha ka nimefunga hatrick
We ukiwa kwa booth uki cap
Me nilikuwa kwa block niki chill na majunkie
Yoh
Nilianza ku trap tangu nikuwe youngin
Sai niko kwa field niki score
Man of the match ka Bruno ju bao ilikua classic
Na sina time ya ku brag ju niliingia ka sub
Na nikaacha ka nimefunga hatrick
We ukiwa kwa booth uki cap
Me nilikuwa kwa block niki chill na majunkie
Me nilikuwa kwa block niki chill na ma junkie
Written by: Dennisleon Mwaniki Kariuki
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...