album cover
June 25th
Hip-Hop/Rap
June 25th was released on July 16, 2026 by Most Wanted Records as a part of the album Gemini 2
album cover
Release DateJuly 16, 2026
LabelMost Wanted Records
LanguageEnglish
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM93

Credits

PERFORMING ARTISTS
Dennisleon Mwaniki Kariuki
Dennisleon Mwaniki Kariuki
All Instruments, Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Dennisleon Mwaniki Kariuki
Dennisleon Mwaniki Kariuki
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Dennisleon Mwaniki Kariuki
Dennisleon Mwaniki Kariuki
Producer

Lyrics

Life na live nika game na uki bunt una baki
Changwech io mulla na ukihata io ni bating
Ka siko on road niko kwa bando niki funga mabangi
Ka siko on toes we jua kwa block radar ni safi
Niko na ma opps ka soh lakini wote ni ma nambli
Akuna adi mmoja ashai slide akanipata nikiwa lurking
Kwani ni mara ngapi nimewaseki ma ukapi
123 naeza hesabu adi 30
Kwani ni mara ngapi nime wa ching nikaacha mafala waki bleed
Mbogi mzima ime G pin ukikula nare tuna ku dim
Sina time ya ku sina time ya ku appeal
Ka verdict ni guilty then it is what it is
Siezi give a fuck ju already system iko fucked up
No wonder uko na masters lakini bado umepaka
Jiulize mbona Gen Z ndio wamekalia dimanga
Ka ni Justice unadai tafuta bitch anaitwa karma
Ka ni justice unadai labda ubuy
Lazima maziwa na simaanishi ya chai
June 25th nilikuwa busy nikiwachai
Na sina regrets ama remorse of any kind
Ju niko ready ku fight ndio nipate zangu rights
Siezi backslide adi chengerere ziki ni tight
June 25th nilikuwa busy nikiwa chai
June 25th nilikuwa busy nikiwa chai
Ka ni justice unadai sidhani kuna mse anaeza ku serve
So the only solution ni ku take the law into your hands
Corruption is the key ju za education zili rust
So your honor until we meet again kiss my ass
Najua siku hii ngoma ita drop wanaeza try kuni abduct
So if I dont make it home play this song for my mum
Mwambie nilikufa ju ya cause na nimeishi kuwa patriot tangu birth
Na mkipata mwili yangu make sure mmenizika na flag
To the so called leaders your time is due
Contract ime land na akuna option ya ku renew
June 25th nilikuwa among the few
Si ndio tulifanya io siku adi akukuwa na news
Kazi ilikuwa tu ku burn na ku loot
For the next few months hakukuwa na shida ya food
Ju akuna morio alitokea alirudi mtaa akiwa dafur
Mbato hao mambanga walikuwa wanakaa ka ma cartoon
Walikuwa wamesahao wanaeza tumada lakini hawaezi tu mute
Io siku moto tuliwasha ingechoma adi fuse
Tulileta anarchy kwa streets tukaacha nchi mzima ikiwa shook
Ka ni justice unadai unafaa kuwa ready kupiga coup
Ka ni justice unadai labda ubuy
Lazima maziwa na simaanishi ya chai
June 25th nilikuwa busy nikiwachai
Na sina regrets ama remorse of any kind
Ju niko ready ku fight ndio nipate zangu rights
Siezi backslide adi chengerere ziki ni tight
June 25th nilikuwa busy nikiwa chai
June 25th nilikuwa busy nikiwa chai
Written by: Dennisleon Mwaniki Kariuki
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...