album cover
Haki
album cover
Haki was released on January 1, 2020 by EMC as a part of the album Haki - Single
ReleasedJanuary 1, 2020
LabelEMC
BPM89
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Music Video

Music Video

Lyrics

Haki haki haki x3
Verse : 1
Asallam alemkum ndugu zangu waisalam
Bwana asifie ndugu zangu wakirsto
Mambo niaje ehe wanangu wa ghetoo
na wapagani wote mnaoamini mtaiona pepo
Bridge
Usitangaze amani pasipokua na haki
penye haki amani utamaraki
hakuna navita pasipo kua na haki
hakuna vita pasipo kua na haki
Chorus:
Haki haki haki x3
Kila mmoja asimame upande wa mbele kuipigania amani isonge mbele
Verse : 2
Acha waende kwa ndege sie tunaenda kwa Basi
wapige cheza zetu magoli na pasi
Unaitaka pepo alafu kufa hautaki
sipo hapa kukuambia umchague nani
kula nisiri mchague unamtaka.
Bridge
Usitangaze amani pasipokua na haki
penye haki amani utamaraki
hakuna navita pasipo kua na haki
hakuna vita pasipo kua na haki
Chorus:
Haki haki haki x3
Kila mmoja asimame upande wa mbele kuipigania amani isonge mbele
na nawakumbusha .
Written by: Neyrat Tz

Loading...