album cover
Nyang'a Nyang'a
album cover
Nyang'a Nyang'a was released on August 17, 2018 by Ziiki Media as a part of the album Nyang'a Nyang'a - Single
August 17, 2018
LabelZiiki Media
BPM184
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Music Video

Music Video

Lyrics

Penzi umelipiga parapanda, uchizi umenipanda
Mpaka nimepatwa kipanda, kipanda uso
Mie barafu kwako mama niliganda, umeleta joto nimeyeyuka mama
Unanipa maswali, wapi kwenda huko
Penzi umeligeuza karabai, umegeuka upepo
Umezima zetu ndoto, rafiki yangu amekuwa kilio, angali najipa moyo, nivute subira ila wapi, moyo umechoka
Kuna muda naulazimisha mwili kimapenzi
Angali nafsi na roho yangu havipendi, sina mood sijiskii chochote moyo wangu jamani
Nyang'anyang'a ooh
Roho yangu imechoka
Nyang'anyang'a ooh
Kufumania nimechoka
Nyang'anyang'a ooh, nyang'anyang'a ooh, nyang'anyang'a ooh
Moyo wangu barafu
Nyang'anyang'a ooh
Kwenye jua nayeyuka
Nyang'anyang'a ooh
Ukinivunja nameguka mii
Nyang'anyang'a ooh
Eh eh mii
Nyang'anyang'a ooh, nyang'anyang'a ooh
Zile subira, subiri huvuta heri, mimi nimevuta shari
Niliompenda akawa adui, na mie ndo wake askari
Nilichogundua tamu ya mapenzi, waliopendana wakiachana wanakuwa maadui sana
Kuna muda na kubeep na itikali, nakutumia message yawa, ukinipigia nakujibu bahati mbaya
Kuna muda naulazimisha mwili kimapenzi
Angali nafsi na roho yangu havipendi, sina mood sijiskii chochote
Moyo wangu jamani
Nyang'anyang'a ooh
Roho yangu imechoka
Nyang'anyang'a ooh
Kufumania nimechoka
Nyang'anyang'a ooh, nyang'anyang'a ooh, nyang'anyang'a ooh
Moyo wangu barafu
Nyang'anyang'a ooh
Kwenye jua nayeyuka
Nyang'anyang'a ooh
Ukinivunja nameguka mii
Nyang'anyang'a ooh
Eh eh mii
Nyang'anyang'a ooh
Mie
Nyang'anyang'a ooh
Written by: Elias Barnabas Inyasi

Loading...