album cover
Machozi
4,225
Christian Pop
Machozi was released on February 20, 2014 by Africha Entertainment (AEL YOUNG) Limited as a part of the album Mama - EP
album cover
Release DateFebruary 20, 2014
LabelAfricha Entertainment (AEL YOUNG) Limited
LanguageEnglish
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM104

Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Bahati
Bahati
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Bahati
Bahati
Songwriter, Composer

Lyrics

[Intro]
Maachozi
Machozi ii, machozi mamaye
Machozi, skiza papaye
[Verse 1]
Vidonda vichungu na fikra ona (Vile niliumia)
Machozi machungu nakuta mbona (Hakuna vile ningeficha)
Vidonda vichungu na fikra ona (Vile niliumia)
Machozi machungu nakuta mbona (Hakuna vile ningeficha)
[Verse 2]
Maisha yangu ya uswazi kasoro mali (Wapi wangu waniokoe)
Napoteza mzazi uchungu wa mwana (Mbona Mola umuondoe)
Maisha yangu ya uswazi kasoro mali (Wapi wangu waniokoe)
Napoteza mzazi uchungu wa mwana (Mbona Mola umuondoe mama)
[PreChorus]
Nilikosa hata moyo kucha poyoyo (Niliumia sana)
Maskini kusema hawachoki kuchonga (Nililia msela)
[Chorus]
Nilijawa machozi (Mbona mimi)
Maswali kwa Mola (Mbona mimi)
Nilijawa machozi (Mbona mimi)
Mbona dunia uchungu (Mbona mimi)
Nilijawa machozi (Mbona mimi)
Maswali kwa Mola (Mbona mimi)
Nilijawa machozi (Mbona mimi)
Mbona dunia uchungu (Mbona mimi)
[Verse 3]
Mziki nkafanya nafanya, napata gharama, nlikuwa nakerwa
Bidii nikaweka, nikaambulia pa tupu, niliota kupenya
Mziki nkafanya nafanya, napata gharama, nlikuwa nakerwa
Bidii nikaweka, nikaambulia patupu, niliota kupenya
[Verse 4]
Ilikuwa uchungu naona mandugu zangu (Vile njaa wanaumia ee)
Ilikuwa machozi sina hata pozi (Ila tumbo inalia aai)
Ilikuwa uchungu naona mandugu zangu (Vile njaa wanaumia ee)
Ilikuwa machozi sina hata pozi (Ila tumbo inalia aai)
[Chorus]
Nilijawa machozi (Mbona mimi)
Maswali kwa Mola (Mbona mimi)
Nilijawa machozi (Mbona mimi)
Mbona dunia uchungu (Mbona mimi)
Nilijawa machozi (Mbona mimi)
Maswali kwa Mola (Mbona mimi)
Nilijawa machozi (Mbona mimi)
Mbona dunia uchungu (Mbona mimi)
[Verse 5]
Ulofa nayo ukaniweka chini, niende wapi mwenzio
Niliangaika kuishi mjini, mashambani hivo-hivo
Ulofa nayo ukaniweka chini, niende wapi mwenzio
Niliangaika kuishi mjini, mashambani hivo-hivo
[Verse 6]
Niliandika wangu kuonyesha mapenzi (Hapo siku ya kwanza)
Maulana kwangu ukakuwa mpenzi (Nlijua hutoniacha)
Niliandika wangu kuonyesha mapenzi (Hapo siku ya kwanza)
Maulana kwangu ukakuwa mpenzi (Nlijua hutoniacha)
[Verse 7]
Nilikosa hata moyo kucha poyoyo (Niliumia sana)
Maskini kusema hawachoki kuchonga (Nililia msela)
[Chorus]
Nilijawa machozi (Mbona mimi)
Maswali kwa Mola (Mbona mimi)
Nilijawa machozi (Mbona mimi)
Mbona dunia uchungu (Mbona mimi)
Nilijawa machozi (Mbona mimi)
Maswali kwa Mola (Mbona mimi)
Nilijawa machozi (Mbona mimi)
Mbona dunia uchungu (Mbona mimi)
[Outro]
Na siamini ni mimi leo (Mbona mimi)
Maulana hayali ndio (Mbona mimi)
Si amini ni mimi leo (Mbona mimi)
Rabuka hafungi sikio (Mbona mimi)
Si amini ni mimi leo (Mbona mimi)
Maulana hayali ndio (Mbona mimi)
Si amini heey
Rabuka hafungi sikio oo
Written by: Bahati
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...