Music Video

Abneli | Bahati Bukuku | Official Audio
Watch {trackName} music video by {artistName}

Credits

PERFORMING ARTISTS
Bahati Bukuku
Bahati Bukuku
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Bahati Bukuku
Bahati Bukuku
Songwriter

Lyrics

Mbona huyu amefia hapa Kwa nini? Mbona huyu amenyongwa Nashanga Nyumba za wageni zimejaa wizi Kwa nini? Taarifa za habari hakuna mapya Nashanga Huruma huruma Ikowapi dunia? Huruma huruma Haipo tena Huruma huruma Iko wapi dunia? Huruma huruma Haipo tena Usijaribu kuua nzi aliye kichwani kwa mtu Ukatumia nyundo ukidhani utamsaidia Usijaribu kuua nzi aliye kichwani kwa mtu Ukatumia nyundo ukidhani unamsaidia Jeraha utaloacha ni kubwa Ni bora uwaache wenye busara Watumie akili wamsaidie Maana neno msamaha kwa mpumbavu litamuua tu Ila neno msamaha kwa mwerevu litamuinua Neno msamaha kwa mpumbavu litamuua tu Ila neno msamaha kwa mwerevu litamuinua Abneli Abneli Umekufaje abneli? Abneli Abneli Daudi alilia Abneli Abneli Umekufaje Abneli? Abneli abneli Daudi aliliaa Tumepoteza ndugu zetu Bila sababu Tumepoteza marafiki Bila sababu Tumepoteza ndugu zetu Bila sababu Tumepoteza marafiki Wasio na hatia Kwa sababu ya kufurahisha Wanadamu Kwa sababu ya kufurahisha Wanaotuzunguka Huruma huruma Iko wapi huruma? Huruma huruma Haipo tena Huruma huruma Iko wapi huruma? Huruma huruma Haipo tena Maana neno msamaha kwa mpumbavu litamuua tu Ila neno msamaha kwa mwerevu litamuinua Maana moyo wa mwanadamu sasa umekunja ngumi Roho ya huruma haipo tena Roho ya kisasi inatenda kazi Roho ya huruma haipo tena Roho ya kisasi inatenda kazi Huruma huruma Iko wapi dunia? Huruma huruma Haipo tena Huruma huruma Iko wapi dunia? Huruma huruma Haipo tena Abneli Abneli Umekufaje Abneli? Abneli Abneli Daudi alilia Abneli Abneli Umekufaje Abneli? Abneli Abneli Daudi alilia Baada ya sahuli ilikufwa Abneli alirudi kwa Daudi Alipotengeneza na Daudi Akasahau Yoabu anakumbuka Kifo alichomuua nduguye Asaheli wakati wa vita Yoabu aka muua abneli Abneli hakutambua hilo Yeye alipotengeneza na Daudi Akajua maadui wamekwisha Msamaha msamaha Uko wapi dunia? Msamaha msamaha Mungu atusaidie Msamaha msamaha Ukowapi dunia? Msamaha msamaha Mungu atuhurumie Nyakati hizi tulizo nazo Alama za nyakati zinaonesha Wanadamu wamechoka suluhu Wanaona maamuzi kuwa ni kifo Wajue adui ulio nao Jihadhari nahao marafiki Sio kila kicheko kina maanisha furaha Wengine wakichukia hucheka sana Sio kila kicheko kina maanisha upendo Wengine wanataka wakusogeze tu Wengine wanataka wakuweke karibu Ili iwe sababu ya kutoa roho yako Abneli Abneli Umekufaje abneli? Abneli abneli Daudi alilia Abneli Abneli Umekufaje abneli Abneli Abneli Daudi alilia
Writer(s): Bahati Bukuku Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out