Music Video

Goodluck Gozbert - Hauwezi Kushindana (Official Video) SMS SKIZA 8633371 TO 811 TO GET THIS SONG
Watch {trackName} music video by {artistName}

Credits

PERFORMING ARTISTS
Goodluck Gozbert
Goodluck Gozbert
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Goodluck Gozbert
Goodluck Gozbert
Composer

Lyrics

Hmm, halleluyah (Produza Paulo) Ah, ah, a-ya, ya-ya-ya Hauwezi kushindana, oh kushindana Na mwanadamu mwenye kinywa, a-ya, ya-ya-ya Hauwezi kushindana oh kushindana Na mwanadamu mwenye kinywa, a-ya, ya-ya-ya Mm, kama maneno yangekuwa yanaweza kutoboa mwili huu Mbona sasa ningekuwa na vidonda mwili mzima Vita ya maneno kuna watu ni majemedari Ukisema mshindane mbona mikono utainua Kupigwa vita ni kawaida isikusumbue Wewe ni muti wenye matunda zoea mawe Lia kidogo nyamaza ili uchungu uishe Ah, ukiendelea unawapa kichwa hao Vaa silaha za imani rejea vitani Wakikuona waseme umeshakua sugu (sugu) Oh, acha waonge, acha waseme seme Ila yupo Mungu wakuwaziba midomo Hauwezi kushindana, oh kushindana Na mwanadamu mwenye kinywa, a-ya, ya-ya-ya Hauwezi kushindana oh kushindana Na mwanadamu mwenye kinywa, a-ya, ya-ya-ya Eh, ikiwa Mungu anahukumu kwa kus'kiza maneno Mbona hata matumbo ya mimba yanasemwa sana (kazaliwa) Hivi Mungu angehukumu kwa kus'kiza umbeya Si' ningekushauri mchungaji wangu ufunge kanisa Mwanadamu, mwanadamu, shida ni ulimi Ungejifunza ukimya haunaga hasara Fulani, we fulani unashida gani Na uongo wa nini? Mwogope Mungu Ukumbuke ni ahadi kuna siku yaja Kwa kila neno la kinywa chako, utatolea hesabu Mimi (mimi) si' nimeshakwambia kubali uache Utajijua na shingo yako ngumu a-ya, ya-ya-ya Siwezi kushindana, oh kushindana Na mwanadamu mwenye kinywa a-ya, ya-ya-ya Hauwezi kushindana (hauwezi), oh kushindana Na mwanadamu mwenye kinywa, a-ya, ya-ya-ya Hauwezi kushindana, oh kushindana Na mwanadamu mwenye kinywa, a-ya, ya-ya-ya Yesu huyu Yesu, hakujitetea kabisa Japo walimsema kwa ubaya, aliwasamehe Na wewe uwasamehe, uwaombee Kwa maana hawajui wasemayo Wakifanyanga ubaya (uwajibu kwa wema), oh Usishindane na mtu (wajibu kwa wema) Hata iwe ni ndugu wa karibu (wajibu kwa wema) Si' vizuri wewe usilipe kisasi (wajibu kwa wema) Tenda wema uende (wajibu kwa wema), eh Ah-ah-ah (wajibu kwa wema), oh maana maana Hauwezi kushindana (o-lolo), oh kushindana (oyo) Na mwanadamu mwenye kinywa, a-ya, ya-ya-ya (ukisimama maneno yatosha) Hauwezi kushindana oh kushindana Na mwanadamu mwenye kinywa, a-ya, ya-ya-ya (wewe uliye mkuu) Hauwezi kushindana (o-lolo), oh kushindana (eh-eh) Na mwanadamu mwenye kinywa, a-ya, ya-ya-ya (watakupenda ukifa wewe) Hauwezi kushindana (hauwezi) oh kushindana (wacha) Na mwanadamu mwenye kinywa, a-ya, ya-ya-ya (kinywa) (Maneno mtu humpangii nini aseme) (Ahsante)
Writer(s): Goodluck Gozbert, Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out