Music Video

Bahati Bukuku - Wewe Ni Baba (HQ Audio) (Official Video)
Watch {trackName} music video by {artistName}

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Bahati Bukuku
Bahati Bukuku
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Bahati Bukuku
Bahati Bukuku
Songwriter

Lyrics

Wewe ni mungu Wewe ni mungu Hivi leo nimejua wewe ni mungu Wewe ni baba Wewe ni baba Hivi leo nimejua wewe ni baba Wewe ni babaaa Wewe ni baba Hivi leo nimejua weweni baba Wakati wa ayubu ulipo mtambulisha hapo ndipo ninajua wewe ni baba Wakati wa ayubu ulipo mthibitisha hapo ndipo nilipojifunza kuwa ni baba Wakati wa ayubu ulipomkamilisha hapo ndipo ninajua wewe ni baba Wewe ni baba Wewe ni baba Hivi leo nimejua wewe ni baba Wewe ni baba Wewe ni baba peke yako nimejua wewe ni baba Wewe ni baba tena ni mungu Hivi leo nimejua wewe ni baba Wewe ni baba Wewe ni baba Hivi leo nimejua wewe ni baba Kama ulivyoruhusu mabaya yaje kwangu ndivyo uruhusu na mema yanifate Kama ulivyoruhusu aibu ije kwangu ndvyo uruhusu heshima inifate Kama ulivyoruhusu magonjwa kwangu ndivyo uruhusu uzima unifate Kama ulivyoruhusu mabaya yaje kwangu ndivyo uruhusu na mema yanifate Instrumental Wewe ni mwalimu Wewe ni mwalimu Hakuna anayeweza kutoroka kipindi chako Wewe ni mwalimu Wewe ni mwalimu Hakuna anayeweza kukwepa darasa lako Wewe ni jaji Wewe ni jaji Unahukumu kwa akili wewe ni jaji Wewe ni jaji nimekujua hivi leo nimekujua wewe ni jaji Wewe mtetezi Wewe mtetezi Hivi leo nimekujua wewe mtetezi Unapoumizwa na watesi nimekuona Mimi leo nimekujua wewe mtetezi Kama ulivyoruhusu aibu ije kwangu ndvyo uruhusu heshima inifate Kama ulivyoruhusu magonjwa yaje kwangu ndivyo uruhusu uzima unifate Kama ulivyoruhusu aibu ije kwangu ndvyo uruhusu heshima inifate Wakati wa ezekia alipokuita huku nyamaza ni wewe baba uliye muhurumia wewe ni mungu Wewe ni babaaaaa X2 Mmmmmmmm Wewe ni mungu Wewe ni mungu Hivi leo nimejua wewe ni mungu Wewe ni baba Wewe ni baba Hivi leo nimejua wewe ni baba Wewe ni baba Wewe ni baba Peke yako nimejua wewe ni baba Wewe ni mungu Wewe ni mungu Hivi leo nimejua wewe ni mungu Wewe ni baba Wewe ni baba Hivi leo nimejua wewe ni baba Wewe ni baaaaaba
Writer(s): Bahati Bukuku Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out