Music Video

Natamani | Bahati Bukuku | Official Audio
Watch {trackName} music video by {artistName}

Credits

PERFORMING ARTISTS
Bahati Bukuku
Bahati Bukuku
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Bahati Bukuku
Bahati Bukuku
Songwriter

Lyrics

Zaaamani uliwatumia mitume Zaaamani uliwatumia manabii Zaaamani uliwatumia wafalme Zaaamani uliwatumia manabii Na mimi leo niko hapa Jehova Naa mimi leo niko hapa masiah Natamani niwe ikulu yako bwana Moyo wangu uwe ikulu ya hoho yesu Natamani niwe ikulu yako yesu Kinywa changu kibebe sifa zako yesu Ili unaposhuka yesu Ushukie kwangu Majibu ya kizazi hiki yatoke kinywani mwangu Ili unaposhuka yesu Ushukie kwangu Majibu ya kizazi hiki yatoke kinywani mwangu Zaaamani uliwatumia kina petro Zaaamani uliwatumia Elisha Zaaamani uliwatumia wafalme Na mimi leo niko hapa jehova Shuka baba nikuone tuu Shuka baba nikuone tuu Katika huduma yangu Nikuonee tu Ukiponya wagonjwa nikuonee tuu Nitumie jehova mwanadamu tuu Natamani niwe ikulu yako bwana Moyo wangu uwe ikulu ya hoho yesu Natamani niwe ikulu yako yesu Kinywa changu kibebe sifa zako yesu Dunia haina majibu ya watu Dunia haina majibu ya watu Kanisa lako tupe majibu yao Kanisa lako nipe majibu ya watu Dunia imepoteza mwelekeo Kanisa lako nipe majibu yao Tutumie jehova Tutumie jehova Injili waliohubiri akina petro Injili waliohubiri akina elisha Kama mifupa ya elisha Iliweza kufufua mfu masiah Kama kivuli cha petro Kiliweza kuponya wagonjwa Kwa sauti ulionipa Wenye shida wafunguliwe Kwa sauti ulionipa Naomba viwete watembee Kwa sauti ulionipa Naomba wagumba wapate watoto Natamani niwe ikulu yako bwana Moyo wangu uwe ikulu ya hoho yesu Natamani niwe ikulu yako yesu Kinywa changu kibebe sifa zako yesu Injili ya mitume ilifu wafu Injili ya akina eliya ulionekana Na sisi baba Tutumie jehova Katika kizazi hiki Tutumie jehova Kama vivuli vya mitume Viliweza kuponya wagonjwa Kama sauti ya eliya Alivyotabiri mifupa mikavu Vikawa jeshi kubwa Natamani niwe ikulu yako bwana Moyo wangu uwe ikulu ya hoho yesu Natamani niwe ikulu yako yesu Kinywa changu kibebe sifa zako yesu Uuuuuuuuu Uuuuuuuuu Uuuuuuuuu
Writer(s): Kelvin Kioko Bahati Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out