Lyrics

Mwana wa sheri toto la mamaye Nadia Eti dera bila tako ni kanzu, bora ata upinde mgongo Hizo style zimeganda gundi, bora upeperushe mikono Mauno ya kitanga na mvita, hayana mwendo yanalegea Sina budi kuazima dera, niwakomeshe wasikie vibaya Kolo Kolola Kolo Kooolo Kolola Kolo... Oooh Embe dodo jamani yangu Embe dodo Embe dodo tazama yangu Embe dodo Kolo Kolola Kolo Kooolo Kolola Kolo... Oooh Embe dodo jamani yangu Embe dodo Embe dodo tazama yangu Embe dodo Cheza cheza mama weh cheza Cheza cheza mama weh cheza Mmmmh Nasema mtoto wewe ni mnaughty Hupendi kabeji mtoto unapenda karoti Ulivyo wa Moto umenipiga shoti Twende tukacheze bango Mama it takes two to tangle Niko mwenyewe nami niko jamo Kula moja moja ndo utamu wa karanga... Kwa Mauno yake ya kanga, mapenzi ya Tanga Ngozi nyororo mtoto wa kidosi Piga picha insta nikuposti Simiti imekauka roboti Basi punguza kimombo nijieleze kiwazi Ninavyocheza kayamba (aii wewe) Kiunoni ana shanga (aiii wewe) Anajua kama danga (aii wewe) Kaniroga Kwa mganga (aii wewe) Embe dodo, jamani langu Embe DODO Embe dodo, jamani langu Embe DODO Kolo Kolola Kolo Koolo Kolola Kolo... Embe dodo jamani yangu Embe dodo. Embe dodo Tazama yangu Embe dodo Kolo kolola Kolo Kooolo Kolola kolo... (Cheza mama weh cheza Cheza cheza mama wewe cheza Ninavyocheza kayamba Kiunoni nina shanga Ninajua kama danga Kaniroga kwa mganga Ninavyocheza kayamba Kiunoni nina shanga Ninajua kama danga Kaniroga kwa mganga
Writer(s): Faith Mukami Muendo Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out