Lyrics

Rudi utotoni Usipotembea utabebwa mgongoni 255 champion boy niite Mbwana Samatta Wanaota mapembe waongezee mkia Na ukinibeep tu nakupigia An' let me make one thing clear Blaa blaa sitaki kusikia So simba so chui so mamba (Hhah) Ngozi yangu inatosha kujigamba (Hhah) Na sina maneno ya kwenye kanga Ni kazi juu ya kazi yaani bambaa tu bambaa Kuzaa unaweza kuzaa kizaazaa Sinzia fegi uchome kibanda Kalale uote ndoto zako za kitanda Sisi bado tupo macho mida ya wanga Funga mkanda Kaza na kamba Ama ufate nyayo uchane msamba Pasua miamba Pasua anga Tunasemaga chambua kama karanga Maisha na muziki acha maneno weka muziki Ukiwa sap ukiwa hack ukiwa juu ukiwa chini piga muziki, (yeeeeah) Safari na muziki (heah) Acha maneno weka muziki (yeeeah) Kila unachopenda na ukitaka kucheza cheza muziki Bambataaa shika kamataa Pumba chakacha Kaboka mchizi nshadataa nshadataaah Unataka kukimbia na hauna brekii What do you expect? Bongo, Congo kwa Thabo Mbeki Cheza lokasa ya mbongo huwezi ku make Watch youtself usije ukajiconfuse Mzuka wa kuruka reggae kwenye blues Huna mchuzi no excuse Maisha yetu ya kila siku kama vile movie Vitu vingine havitakagi ujuaji Utajikuta unatandikia watu jamvi Kusubiria embe chini ya mnazi Kumuelewesha chizi utajipa kazi Funga mkanda Kaza na kamba Ama ufate nyayo uchane msamba Pasua miamba pasua anga Tunasemaga chambua kama karanga (uwiiiiiii) Maisha na muziki acha maneno weka muziki Ukiwa sap ukiwa hack ukiwa juu ukiwa chini piga muziki (yeeeeah) Safari na muziki (yeeeah) Acha maneno weka muziki, (yeeeah) Kila unachopenda na ukitaka kucheza cheza muziki Wanatamani tupotee kwenye map Tunapeleka game to the top top Is that I told yah, that we don't stop We don't stop, we don't stop Wanatamani tupotee kwenye map Tunapeleka game to the top top Is that I told yah,that we don't stop We don't stop, we don't stop
Writer(s): Ramadhani Thabit Shariff, Thabit Janati Mango, Remy Mushi, Sweetbeth Mwimula, Benard Puol Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out