Music Video

Maama Mia - Dr Jose Chameleone.
Watch {trackName} music video by {artistName}

Credits

PERFORMING ARTISTS
Jose Chameleone
Jose Chameleone
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Joseph Mayanja
Joseph Mayanja
Songwriter

Lyrics

Hé, hé, hé Oli, oli, oh Tumezaa na wewe watoto wanane Sasa waniwacha Unasema umechoka na mimi masikini Sasa wanitupa Niende wapi? Na nifanye nini? Watoto wanalia huko nyumbani Lakini hizo mambo ni za duniani Ume weka raha mbele, wewe uni oni, Njoki Mbona umeniacha Umeniachia watoto Mpaka wanalia huko nyumbani, Njoki Mbona umenitupa Kama na figure yako Ndiyo kama ya chupa, Njoki wewe Mimi ndiyo mpenzi Usitupe eti mimi sina mali Tafadhali hao wa mapenzi, wako na pesa Alafu hawana mapenzi Hiyo ni kweli, Chameleone ndiyo mpenzi Usitupe eti mimi sina mali Tafadhali hao wa ma Bima wako na pesa Alafu hawana penzi Mbona umeniacha Umeniachia watoto Mpaka wanalia huko nyumbani, Njoki Mbona umenitupa Kama na figure yako Ndiyo kama ya chupa, Njoki Mama mia, mama mia Mama mia, mama mia Mama mia, mama mia Mama mia, mama mia Sasa watoto wanalia, angalia Chameleone mi nalia, mama Mia Shida ni mengi kwa duniani Mingi hata wanaume wanalia kweli kweli Kila siku pesa na mafuta Kumnunulia, Hakuna Mafuta Kumbe siku moja atabadilika Mbona una badilika ume ni tupa Mama Mia Ogopa Deejays (Dothie) Situwa sike tomboa Situwa sike ya roga roga Situwa sike tomboa Situwa sike ya roga roga Situwa sike tomboa Situwa sike ya roga roga Situwa sike tomboa Situwa sike ya roga roga Mbona umeniacha Umeniachia watoto Mpaka wanalia huko nyumbani, Njoki Mbona umenitupa Kwa maana figure yako Ndiyo kama ya chupa, Njoki Mbona umeniacha Umeniachia watoto Mpaka wanalia huko nyumbani, Njoki Mbona umenitupa Kwa maana figure yako Ndiyo kama ya chupa, Njoki wewe
Writer(s): Joseph Mayanja Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out