Credits

PERFORMING ARTISTS
Willy Paul
Willy Paul
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Wilson Ouma
Wilson Ouma
Songwriter

Lyrics

Michezo yako ki-nasty-nasty, biggy-biggy, heavy-heavy
Mama mimi napendaga, unaahhoo
Ulivyoshona konongo-nongo
Ukidunga sketi alafu uiname chini
Unanimaalizaa
Ukifunfa dera unanimaliza, michezo ya chumbani, oi nakufa
Unanimaliza ooh mama
Wewe ni, my sugar sukari, ulivyozidi utamu, nikuite asali
Toto-to mama, toto-to mama
Toto-to mama, toto-to mama
Hey-hey toto-toto, unanimada toto ooh, hey toto
(Oh toto, toto-oh to) Hey-hey toto-toto, unanimada toto ooh, hey toto
Una siri gani apo kwa mauno, mtoto Salome unamwaga mpaka bone marrow
Au hata unatumia annointing oil vibaya, coz unavyorombosa kwa paja rombosa, sijawai ona
Toto uko heavy nibebe-bebe, nizame topeni nigware-gware
Si mi ndiye fundi wa kuchelewesha, bwana slow motion
Na wazee wa boma walishasema niwe mama lao
Basi mi ndio baba lao (Oh yaga yaah)
Na wazee wa boma walishasema niwe mama lao
Basi mi ndio baba lao (Baby)
Toto-to mama, toto-to mama
Toto-to mama, toto-to mama
Hey toto-toto, unanimada toto ooh, hey toto
(Oh toto, toto-oh to) Hey-hey toto-toto, unanimada toto ooh, hey toto
Hey toto-toto, unanimada toto ooh, hey toto
(Oh toto, toto-oh to) Hey-hey toto-toto, unanimada toto ooh, hey toto
Written by: Wilson Ouma
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...