Lyrics

Yatapita yana mwisho Ipo siku tutayasahau Watatuheshimu walio tudharau Kaza moyo, nivumilie Amini tutayasahau Watatuheshimu walio tudharau (Wote) Na ntakununulia (Vyote) Mawigi na simu (Vyote) Ntakuzawadia (Vyote) Pochi zenye thamani (Vyote) Nawe uende waringishia (Vyote) Utembee kwa uskani (Vyote) Na vioo ukiwafungia (Vyote) Aloiumba leo ni mungu na ndio ataiumba kesho Amini fungu letu laja haliko mbali Alisema mtazaa kwa uchungu, tutatafuta kwa mateso Baby mitihani kawaida usijali, mnh! Kidogo nnachokuletea usinune pokea Nipate moyo nifariji Na juhudi naziongezea usichoke niombea Molah atubariki zaidi Mungu kakupa sura kakupa shepu Nyuma chura mambo yetu Mwana wa sanura, mwenzako mimi, I love you Umeniteka medula niko fyetu Akili haina ndala iko peku Umenivurura, mwenzako mimi, I love you Ooh nivumilie Yatapita yana mwisho Ipo siku tutayasahau Watatuheshimu walio tudharau Kaza moyo, nivumilie Amini tutayasahau Watatuheshimu walio tudharau (Wote) Na ntakununulia (Vyote) Mikufu na simu (Vyote) Ntakuzawadia (Vyote) Pochi zenye thamani (Vyote) Nawe uende waringishia (Vyote) Utembee kwa uskani (Vyote) Na vioo ukiwafungia (Vyote) Ooh Baby Tazama Nyota na Mbalamwezi zatutazama Liliwaka jua zikafanya subira mnh! nhh! Na nnapokosa niambie mupenzi sio kuzozana Nyumba haijengwi kwa vita hasira Kwenye macho yako nikiyatazama Naiona huruma yako mama Changamoto maana kuna muda unakata tamaa Nanoa kisu hatuli nyama Na kodi lundo zatuandama Riziki zama kwa zama Ya kwetu kesho ya kwao ni jana Kidogo nnachokuletea usinune pokea Nipate moyo nifariji mnh! Na juhudi naziongezea usichoke niombea Molah atubariki zaidi Yatapita kipenzi changu Yatapita yana mwisho Ipo siku tutayasahau Watatuheshimu walio tudharau Kaza moyo, nivumilie Amini tutayasahau Watatuheshimu walio tudharau (Wote) Na ntakununulia (Vyote) Mawigi na simu (Vyote) Ntakuzawadia (Vyote) Pochi zenye thamani (Vyote) Na wewe uende waringishia (Vyote) Utembee kwa uskani (Vyote) Na vioo ukiwafungia (Vyote) Mungu kakupa sura kakupa shepu Nyuma chura mambo yetu Mwana wa sanura Mwenzako mimi, I love you
Writer(s): Nasibu Abdul Juma Issaack, Siraju Hamisi Amani Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out