Credits
PERFORMING ARTISTS
Walter Chilambo
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Walter Chilambo
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Walter Chilambo
Producer
Lyrics
[Verse 1]
Maisha anayepanga Mungu
Ndiye anayejua kesho yangu
Yawe matamu au machungu
Nikipata nikikosa nashukuru Mungu
[Verse 2]
Ndio maana bado sijachoka mi kuhangaika
Ndoto zangu zikazimika
Nazidi kuomba Mungu ashushe baraka
Na neema yake kunifunika
Leo yangu isiwe kama jana
Naamini mambo yatabadilika eeh
[Verse 3]
Unitazame Bwana
Kesho yangu ikajae furahaa
Kesho yangu ikajae furaha
[Chorus]
Mamboo (Shwari)
Yatakuwa shwari (Shwari)
Ooh mambo (Shwari)
Mungu anayaweka shwari (Shwari)
Sina mashaka tena (Shwari)
Najua mambo yatakuwa shwari (Shwari)
Shwari kabisa yaani shwari (Shwari)
Siku yaja mambo yatakuwa (Shwari)
Mambo yatanyooka aahh
[Verse 4]
Nimezaliwa kupambanaa
Na sitokata tamaa
Haijalishi ni mangapi nimepitia
Yakaniumiza eehh
[Verse 5]
Najua vita si ndogo, vita si ndogo
Ila kwa Mungu hiyo vita ni ndogo
Bado kidogo, muda kidogo
Mungu ataniheshimisha
Bado kidogo
[Verse 6]
Ndio maana bado sijachoka mi kuhangaika
Ndoto zangu zikazimika
Nazidi kuomba mungu ashushe baraka
Na neema yake kunifunika
Leo yangu isiwe kama jana
Naamini mambo yatabadilika, eeh
Unitazame Bwana
Kesho yangu ikajae furahaa
Kesho yangu ikajae furaha
[Chorus]
Mamboo (Shwari)
Yatakuwa shwari (Shwari)
Ooh mambo (Shwari)
Mungu anayaweka shwari (Shwari)
Sina mashaka tena (Shwari)
Najua mambo yatakuwa shwari (Shwari)
Shwari kabisa yaani shwari (Shwari)
Siku yaja mambo yatakuwa (Shwari)
Mambo yatanyooka aahh (Shwari)
Yatakuwa shari (Shwari)
Ooh mambo (Shwari)
Mungu anayaweka shari (Shwari)
SMambo yatanyooka
Written by: Walter Chilambo