歌词

Mmm ooh yea Ooh lalala ooh yea Mmm mmm (Mafia) Labda mbingu na dunia vije vishikane Wabadili mchana uwe usiku wa manane Wakitaka tuachane Watupige mapanga baby tufe tuzikane Si unajua nakujua sasa walimwengu mimi wataniambia nini Na wakitaka kukwambia waambie baby wewe ndo unanijua mimi Na vile vipengele si ungehama Ningeingia maji ningezama Walikuvua nguo ukachutama Ukasema uniachi ukang'ang'ana na mimi Penzi ni kama kamari Tucheze hakuna dosari Tena hakuna kujali Ooh nana Tena lipigwe zumari Wapambe wakae mbali Tucheze tujivinjari ooh Penzi ni kama kamari Tucheze hakuna dosari Tena hakuna kujali Ooh nana Tena lipigwe zumari Wapambe wakae mbali Tucheze tujivinjari ooh Ooh lala Basi nibebe nibebe (Unibebe) Nibebe nibebe (Aah nimechoka) Basi nibebe nibebe (Mmm) Nibebe nibebe Unibebe nibebe nibebe Kwa kila hali nibebe Wambea hawaishi maneno nibebe (Ooooh) Nibebe nibebe tuende mbali Namwaza Nikutunukie tuzo Tumeshinda vikwazo Tangu mwanzo Si rahisi mammy love kuishi na yao maneno Wanatamani nikudharau Niseme nimepanda dau Kisa nikusahau wewe Wangemiliki mbuga Wangeshatufukuza Kama wanyama mie wee Tule mihogo tule dagaa Ugali wa kuchoma na vinguru kaa Tuishi vile tunavyotaka Binadamu hatuwezi kuwaridhisha Penzi ni kama kamari Tucheze hakuna dosari Tena hakuna kujali oh nana Tena lipigwe zumari Wapambe wakae mbali Tucheze tujivinjari ooh Penzi ni kama kamari Tucheze hakuna dosari Tena hakuna kujali oh nana Tena lipigwe zumari Wapambe wakae mbali Tucheze tujivinjari ooh Ooh lala Basi nibebe nibebe (Unibebe) Nibebe nibebe (Aah nimechoka) Basi nibebe nibebe (Mmm) Nibebe nibebe (Nibe nibebe)
Writer(s): Salmin Ismail Hoza Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out