Mbuzi Gang 的热门歌曲
制作
出演艺人
Mbuzi Gang
表演者
作曲和作词
Joseph Nyamwea
词曲作者
Mike Makori
词曲作者
Moses Otieno
词曲作者
歌词
Joefes
Biasha kupenya ni sokomoko
Photo ni moto sijawahi choma mboto
Heri wa kwanza wa pili huwa ni hoho
Ni mkali lakini siwezi chase her
Ni mkali si buda huwezi cheza
Kama wewe, I got chicks kila pande kama mwewe
Wewe unajifanya hutujui Mavo juu ya track
Unajifanya me si chui
In the morning nakaa ka ako na kishada
Nikuite hunny unakaa ka vile unakaa
Ndani sikusize unakaa ye ni mweupe pe
Unadai ananyuma Shikwekwe kwe
Unadai ni kasupa kakembwe mbwee
We ni diva malkia nikembe
Ni sese ni keke nikule nitoke
Nichoche i cheche che
Drip Eye
Chini kwa chini toka chini kufa juu
Hatutaki simba hapa juu ndovu ni kuu
Mbati ni chu ungati peleka loo
Bei nafuu na sasa mbona unishuku
Kuku, ako in danger geuzwa supu
Picha sipati hajawai tuma tupu
Si wanyama huku tunaua nyuku
Wewe, unajifanya hutujui
Chorus
In the morning nakaa ka ako na kishada
Nikuite hunny unakaa ka vile unakaa
Ndani sikusize unakaa ye ni mweupe pe
Unadai ananyuma Shikwekwe kwe
Unadai ni kasupa kakembwe mbwee
We ni diva malkia nikembe
Ni sese ni keke nikule nitoke
Nichoche i cheche che
Iphoolish
Chli yake ni mnyonge
Ndo maana anataka nimnyonge
Ni mnyonge ye hujificha anyonge
Ni usonge ugali ulete proteins
Ni ugonge ka CD zisonge
Ni utoke atuite form utokee
Ni ugonge boyz before utekwe
Ni ucheke na me ama uchekwe
Hujanyoa lakini leo nakufyeka
Chorus
In the morning nakaa ka ako na kishada
Nikuite hunny unakaa ka vile unakaa
Ndani sikusize unakaa ye ni mweupe pe
Unadai ananyuma Shikwekwe kwe
Unadai ni kasupa kakembwe mbwee
We ni diva malkia nikembe
Ni sese ni keke nikule nitoke
Nichoche i cheche che
Writer(s): Mike Makori, Moses Otieno, Joseph Getugi Nyamweya
Lyrics powered by www.musixmatch.com