制作
出演艺人
Nandy
表演者
Marioo
表演者
Tboy Daflame
表演者
作曲和作词
Omary Mwanga
作曲
Faustina Nandera Charles Mfinanga
作曲
制作和工程
Tboy Daflame
制作人
歌词
[Intro]
Chu, chu, chu, chu, chukua
Chu, chu, chu, chu, chu, chu
Chu, chu, chu, chu, chukua
Chu, chu, chu
[Verse 1]
Eii, nakupenda unajua baby
Usinifanye vibaya mwenzako nitaumia
Eii, nakupenda unajua baby
Usinifanye vibaya mwenzako nitaumia
[Verse 2]
Usinimix na viswaswadu, utanidhalilisha
Mi sio level zao-zao, utanikasirisha
Aku mi sipendi tabu, utanihangaisha
Mi sio level zao-zao, utanikasirisha
[Bridge]
Aah eeh
Eeh, eeh, eeh
Zipe weka kufuli, kufuli tia kufuli, kufuli aah shuu
[Chorus]
Weeh, waa chaa
Kwichi chichichichi, wacha-cha, chacha
Kruu kwichi-kwichi, waachaa
Weeh, waachaa
Kwichi chichichichi, wacha-cha, chacha
Kruu kwichi-kwichi, waachaa
Kwichi chichichii, wacha-cha, chacha
[Verse 3]
Aah baby mi nikipenda nakera
Wivu wangu unaboa
Usinifanye vibaya, mwenzako ntaumia
Baby mi nikipenda nakera
Wivu wangu unaboa
Usinifanye vibaya, mwenzako ntaumia
[Verse 4]
Basi nipe yote, kisibaki kiporo
Aah tukeshe wote, yaani mpaka tomorrow
Ooh, nipe vyote supu mpaka kongoro
Kote-kote mpaka kwenye uchochoro
[Chorus]
Weeh, waachaa
Kwichi chichichichi, wacha-chacha
Kruu kwichi-kwichi, waachaa
Weeh, waachaa
Kwichi chichichichi, wacha-chacha
Kruu kwichi-kwichi, waachaa
Kwichi chichichii, wacha-cha, chacha
[Outro]
Chu, chu, chu, chu, chukua
Chu, chu, chu, chu, chu, chu
Chu, chu, chu, chu, chukua
Chu, chu, chu
Written by: Faustina Nandera Charles Mfinanga, Omary Mwanga

