音乐视频

音乐视频

制作

出演艺人
Israel Mbonyi
Israel Mbonyi
表演者
作曲和作词
Israel Mbonyi
Israel Mbonyi
词曲作者
制作和工程
Israel Mbonyi
Israel Mbonyi
制作人

歌词

[Verse 1]
Sasa naapa hakuna miungu ntaamini
Sitajitia unajisi, chakula cha ufalme
Na sitauza urithi wa wokovu, anasa za kisasa
Nina uhakika waweza, waweza kuniponya
Hata usipo niponya sitaabudu masanamu
[Chorus]
Naelewa maji na moto nitapita, kwenye uvuli wa mauti
Nina wewe, sitaogopa kamwe
Mungu wangu wanishika mkono, wautuliza moyo wangu
Sina mashaka, wanibeba mgongoni
Waweza tuma neno la uzima, libadishe yote
Hata usiyafanye hayo yoote, bado nitaamini

[Verse 2]

[Verse 3]
Si mara y'a kwanza, kunitowa katika magumu
Nina ushuhuda zaidi ya moja we ni mwaminifu
Nina historia maalum, we ni chemchemi ya uzima

[Verse 4]
Nitaamini, bado nitaamini
Ulichosema nami, nitaamini
Wewe ukiyajibu, nitakuamini
Hata usinijibu, nitaamini
[Verse 5]
Nitaamini, bado nitaamini
Ukiniponya, nitaamini
Hata usiniponye bado nitaamini
Ukinijibu, nitaamini
Hata usinijibu bado nitaamini
Ukibadilisha, nitaamini
Hata usibadilishe bado nitaamini
Kwenye uvuli wa mauti bado nitaamini
Nina ushuhuda, wewe ni mwaminifu
[Chorus]
Nitaamini, bado nitaamini
Ukiniponya, nitaamini
Hata usiniponye bado nitaamini
Ukinijibu, nitaamini
Hata usinijibu bado nitaamini
Kwenye uvuli wa mauti bado nitaamini
Nina ushuhuda, wewe ni mwaminifu
Nina ushuhuda, wewe ni mwaminifu
[Bridge]
Nina ushuhuda, wewe ni mwaminifu
Nina ushuhuda, wewe ni mwaminifu
[Chorus]
Kwenye uvuli wa mauti bado nitaamini
Nina ushuhuda, wewe ni mwaminifu
[Outro]
Nitaamini
Nitaamini
Nitaamini
Nitaamini
[Outro]
Nitaamini
Nitaamini
Written by: Israel Mbonyicyambu
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...