歌词
Siezi shukisha juu hata sikupanda oooh
Omera form sitaki, na simu mi sipigi
Ulisema unanipenda kuliko pesa
Jatelo form sitaki na simu mi sipigi
Ulimwengu unaeza leta unaeza beba ohh
Osiepna form sitaki na simu mi sipigi
Na hiyo chakula nilikula mi silipi
Jaduong form sitaki na simu mi sipigi
Omera form sitaki
Na simu mi sipigi
Emergency sishiki
Ukuniita mi sikuji
Omera form sitaki
Na simu mi sipigi
Emergency sishiki
Ukuniita
Repeat offender
Mzigo mzigo mzigo usiniletee mzigo
Nina kilo nina kilo but siezi beba kilo
Alafu alafu siezi tishiwa na doh
Na ka huelewi ujumbe itakam free delivery
Si explain ntakuwacha ujionee tu vizuri
Na nilicheka team yako ndio ilishindwa juzi
Na nimesema mara mingi mimi sirudi
Na nimesema mara mingi mimi sirudiii
Omera form sitaki
Na simu mi sipigi
Emergency sishiki
Ukuniita mi sikuji
Omera form sitaki
Na simu mi sipigi
Emergency sishiki
Ukuniita mi sikuji
Omera form sitaki
Na simu mi sipigi
Emergency sishiki
Ukuniita mi sikuji
Omera form sitaki
Na simu mi sipigi
Emergency sishiki
Ukuniita mi sikuji
Omera form sitaki, nimesema form sitaki
Na simu mi sipigi na ukipigia mi sishiki
Omera form sitaki, nimesema form sitaki
Na simu mi sipigi na ukipigia mi sishiki
Written by: Pauline Ayuko