音乐视频
音乐视频
制作
出演艺人
Marioo
表演者
作曲和作词
Blacq Boi Beats
作曲
Sweetbert Charles Mwinula
作曲
Omary Ally Mwanga
词曲作者
制作和工程
Blacq Boi Beats
制作人
歌词
[Verse 1]
Sinywangi mitungi
Sivuti mafegi
Eti iihh
Silagi mapepe
Sina kilevi
[Verse 2]
Chukua gari yangu kagonge-kagonge
Nitapeleka Kwa fundi itarudi mpyaa
Chukua mali zangu zisombe-zisombe
Ila Kwa bebi wangu utarudi kibogoyo
[PreChorus]
Ooh jamani naa wivuu
Napenda mapenzi
Napenda kupendwa ohh lalila lalaah
[Chorus]
Hata mkiskia nimejinyonga
Basi mjue yameninyonga
Mkiskia nimejiua
Basi mjue yameniua mapenzi
Oh mapenzi, oh mapenzi, mpenzi
[Verse 3]
Kama mapenzi ni pesa
Basi sio shilingi
Ya nani, ya nani
Kama mapenzi shoo kali
Afu sio kitandani
Asa mapenzi ndio nini
[Verse 4]
Na mbona nayapenda
Hakuna raha hakuna raha
Kama kwetu agenda la mpenzi na mpenzi nyie
Hakuna raha hakuna raha
Kama kuliliwa na mpenzi kimapenzi nyie
[PreChorus]
Ooh jamani naa wivuu
Napenda mapenzi
Napenda kupendwa ohh lalila lalaah
[Chorus]
Hata mkiskia nimejinyonga
Basi mjue yameninyonga
Mkiskia nimejiua
Basi mjue yameniua mapenzi
Oh mapenzi, oh, oh
Written by: Blacq Boi Beats, Omary Ally Mwanga, Sweetbert Charles Mwinula


