音樂影片

音樂影片

積分

演出藝人
Elani
Elani
演出者
詞曲
Elani
Elani
詞曲創作

歌詞

[Verse 1]
Hakuna aliye kuumiza nilivyo kuumiza
Ni mimi tu nimevunja moyo wako mara mia sita
Lakini nakuomba msamaha kwa mara ya elfu tisa
[Chorus]
Baby nisamehe
Forgive me, nisamehe
[Verse 2]
Kosa baada ya kosa nimekosa
Kosa baada ya kosa, kosa
Wapi basi nitaficha sura yangu baby (Aah!)
[Chorus]
Baby nisamehe (Aah!)
Forgive me, nisamehe (Aah!)
[Verse 3]
Sisi wote wakosaji baby
Wajua navyo kuhitaji
Nakula kwa taabu
Bila wewe tabibu
Wapi basi nitaficha sura yangu
Usiporudi kwangu
Usiporudi (Usiporudi)
Nitafanya nini (Nitafanya nini)
[Chorus]
Baby nisamehe
Forgive me, nisamehe
Baby nisamehe
Forgive me, nisamehe
Written by: Elani
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...