歌詞

What a waste? Ooh Lord, The Storyteller yeah What a waste Baby tumejiseti we on the highway Tukafunga breki, tukaanza bishana Asking who is Diana? Vipi mnajuana I swear tumejibetray, baby tumejiseti 'Cause love isn't here right now I guess we'll never know (Never know) Mahali hii story ingeenda Tulichoanza kuja tumalize Kinachokwaza baby ziandike Punguza drama baby zitushike Washa kishada I don't wanna argue ka uko sawa mi niko sawa Ka uko sawa mi niko sawa Aki zile vitu tulipanga ukanishukisha namba Najua unamiss hii kitanda, vile visa na visanga Aki zile vitu tulifanya kabla ubadilishe namba Bado we husemanga mi ni psycho Bado mi hupinganga simu yako Nilideletingi namba yako Lakini bado naikumbukaga kwa moyo And I just can't explain Thoughts of you and me Keep going up and down in my brain And you were looking for some love Didn't care for fame I was looking for a good time playing the game yeah Now you stuck on my name Moving in together baby it was never the same Ooh it's such a shame kila saa tunagombana Lini tutaelewana yeah Tulichoanza kuja tumalize Kinachokwaza baby ziandike Punguza drama baby zitushike Washa kishada I don't wanna argue ka uko sawa mi niko sawa Ka uko sawa mi niko sawa Aki zile vitu tulipanga ukanishukisha namba Najua unamissi hii kitanda, vile visa na visanga Aki zile vitu tulifanya kabla ubadilishe namba I don't wanna argue ka uko sawa mi niko sawa Ka uko sawa mi niko sawa Aki zile vitu tulipanga ukanishukisha namba Najua unamiss hii kitanda, vile visa na visanga Aki zile vitu tulifanya kabla ubadilishe namba
Writer(s): Bien Aimee Baraza, Nviiri The Storyteller Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out