歌詞

Yo, hallo Yo Aress, wolan Sindio, hivo hivo tu Shagla nish au sio? Twende ha Big Beats Afriq Mtoto ni mfresh na ni tourist Mtoto ni mfresh huyo ni tourist, tulimeet Westi Alchemist Kaja Nairo kwa wajanja kuseti, Rong Rende wanyama wa mstuni, ha Yunihallanga hadi Tuesday, jaba ni mamende Eastlando nimetuliz Mtoto ni mfresh na ni tourist, mzuri mnduli wa ghetto Mtoto ni mfresh huyo ni tourist, tulimeet Westi Alchemist Akaja Nairo kwa wajanja kuseti, Rong Rende wanyama wa mstuni, ha Yunihallanga hadi Tuesday, jaba ni mamende Eastlando nimetuliz Mtoto ni mfresh na ni tourist, mzuri mnduli wa ghetto Yo, amedai ikifika ngware ati nijipe shugli ju hataki chali Jaba ni mamende huku ndokas Miss Independent analia namonchoka Kwani kuna swali? ha ah ah, sijadhani Mtoto ni mshifre tuarinyo, ju mi ni man a badman I need me a bad girl Doch nikimbunga El Nino, hebu 66 tufungue hii mvinyo Alafu usisahau ye hajui mi ni msanii, vеnye analia ananipenda sana Niko tu baroda na kishash, nilitumia headbrush nikagеt ki head rush Sh, shh, shh, shh, shh, Clash of the Titans Hivi ndo Munga mi hukuja basi kufunza maniggas Wakikwara kuvunja na si kufunza maninja Staki swara kukuja kazi kuguza na injure Nikigwara hizi kucha as in kufukuza ma jiggers Kwa club tu wasupa shika banjuka Sitoke through one two ka tuna shida banduka Pombe kisha buy through kwa Super' Pilsner maduka Biz ya mahawker inanawiri, Jesus mzuka Go hard or go home, makondoo joh si watu hu condone Na hatuishi Soddom, on God hatupendi kuwa abnormal Mambo ikienda kombo straight up angalia watu unachillingi nao Black yet am proud wow, bow down na staki kuwa loud Vile mambo huenda ulidhani ulianua Brenda kumbe ni Bredan Mtoto mkamba yela, ilibidi nimempea brown asifeel jealous Culture shock Alchemist, Leila mbleina amegeuka hmm Plus hafeel failures, na wanaume wanapenda kuteta teta Off white unaianua offshore, na portion kidogo kwa mbosho If so right tutaifanya rúciú, kama leo joh imepita threshold Driller pia dealer, nimekam na vitu za kuheal the nation Na-na-na misemo kushinda zile za leso Mtoto ni mfresh huyo ni tourist, tulimeet Westi Alchemist Kaja Nairo kwa wajanja kuseti, Rong Rende wanyama wa mstuni, ha Yunihallanga hadi Tuesday, jaba ni mamende Eastlando nimetuliz Mtoto ni mfresh na ni tourist, mzuri mnduli wa ghetto Mtoto ni mfresh huyo ni tourist, tulimeet Westi Alchemist Akaja Nairo kwa wajanja kuseti, Rong Rende wanyama wa mstuni, ha Yunihallanga hadi Tuesday, jaba ni mamende Eastlando nimetuliz Mtoto ni mfresh na ni tourist, mzuri mnduli wa ghetto For real Leo mi ninacheza Westi, huku Eastlando joh washanijua Msupa wa mtu ni bestie, umeshinda unambeep manze joh unatusumbua Bora tu sura ni sexy, wachana na haga boo tutanunua Anajua mi nina jeshi just in case motherfuckers wajaribu kuzua Mtoto ni msafi mtalii, usijifanye hutaki msanii Msupa ana packe anadai aniweke ati sihitaji kazi Akapea kila mtu wa Rong Rende, mamtasis, cousins In case ulidhani hizi ni mambwembwe Waambie there's something charging Yo, bado niko ngangari, bado mi si charari Kama kitu moto tunaongezea parafin Baby pussy yako imenijazia gallery, ninaibeat mpaka ananipea salary Me and my G's tukikuja ni ma Parararara, ni chafu kila mahali ukikaa na mi Mtoto wa mtu ananiita daddy, Wakadinali Mtoto ni mfresh ni mtourist (Mamacita, mwah) Extravangante Maria she different sort of (Extravanganto) Five-star hotel she gon' make decent orders (Decent orders) Only rank Louie V and her shit's imported (Woo, woo, woo) Her whole personas fightin' it, but no complaints am likin' it Me give her de ting then me pipin' it The first time we met was in Alchemist I drop the bag then she whine fi me (Whine fi me) But she no whine for no waste man broke Boy hate when I make it pour (Make it pour) Ask her if she had enough but the girl dem tell me "Mooore" Mia kwa mia ngeus anakaa Khalifa But ka unadigi hio story unafaa kanisa Yeah, napenda usherati sindio mnapata picha, ha Anapenda mangwati shots huzitaka sita Mi huimada na madakika, beat it up kama jab za Conje' We hupendanga marap za E-Sir, perfect tunavibe so tuongee Real rap hii si namba tisa, usiende huko juu talent onge Rong Rende inabump kwa speaker, OG hakunanga compee Mtoto ni mfresh huyo ni tourist, tulimeet Westi Alchemist Kaja Nairo kwa wajanja kuseti, Rong Rende wanyama wa mstuni, ha Yunihallanga hadi Tuesday, jaba ni mamende Eastlando nimetuliz Mtoto ni mfresh na ni tourist, mzuri mnduli wa ghetto Mtoto ni mfresh huyo ni tourist, tulimeet Westi Alchemist Akaja Nairo kwa wajanja kuseti, Rong Rende wanyama wa mstuni, ha Yunihallanga hadi Tuesday, jaba ni mamende Eastlando nimetuliz Mtoto ni mfresh na ni tourist, mzuri mnduli wa ghetto Mtoto ni mfresh huyo ni tourist, tulimeet Westi Alchemist Kaja Nairo kwa wajanja kuseti, Rong Rende wanyama wa mstuni, ha Yunihallanga hadi Tuesday, jaba ni mamende Eastlando nimetuliz Mtoto ni mfresh na ni tourist, mzuri mnduli wa ghetto Mtoto ni mfresh huyo ni tourist, tulimeet Westi Alchemist Akaja Nairo kwa wajanja kuseti, Rong Rende wanyama wa mstuni, ha Yunihallanga hadi Tuesday, jaba ni mamende Eastlando nimetuliz Mtoto ni mfresh na ni tourist, mzuri mnduli wa ghetto
Writer(s): David John Munga, Alvin Handro, Salim Ali Tangut, Churchill Mandela Oganga Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out