歌詞

Drillers drillers Shout out to drillers manze Ayo Chino, you again Man a driller yo Kama unajua mkondo, hatufollow exilo Saa ingine si huingia Molo Mono stereo hatujali, si bora tu uturecordie vocals Photo moto highlights, hadi siku hizi wanapause kwa koto 911 wana more calls ya mwisho youts walinyuria mokoro Pa! pa! pa! Manduru si huziskia hatukujua ni wezi Labda auntie ako nditni anapigwa kimechi Life kwa tips ni crazy, kuna ule underage alipatiwa ukedi Ready or not si tukitokea iteni mavedi Hauskii alifire na akahata, tukamgeuzia sai ako Lang'ata Faster mutaratara, si hatuna time ya mangata Uongo unakata utaacha kukana una lugha ya makanga Dexter alimarwa sema kukacha kadera alihepa mambang'a Patrol patrol kwa ndege (patrol) Mbaru na hata kanjo (yoh) Wiu, wiu, wiu naskia kuna murder ndani ya ploti (murder) Knock, knock, knock sato Kupeep naona DCI pon mi door (peep peep) Wiu, wiu, wiu naskia kuna murder ndani ya ploti Patrol patrol kwa ndege (patrol) Mbaru na hata kanjo (yoh) Wiu, wiu, wiu naskia kuna murder ndani ya ploti (murder) Knock, knock, knock sato Kupeep naona DCI pon mi door (peep peep) Wiu, wiu, wiu naskia kuna murder ndani ya ploti Yoh yoh walidhani mi ni John Kiriamiti Ilikuwa nifungue but wangenishika Key chini ya kiti spliff kwa meza Hao si wakuwabribe na tenga scene ilipigwa sogi alirenga Black eye hadi anapandisha Ray-Ban, labda swag ama anaficha radar Neighbour jana aliniandalia pweza Dick ndani ya pussy drill hadi rengwa May back mi sikuwa na pesa Sai na manifest tu kitu ka mayback Daughter ya Laila so ukimcross mangumi, ngumu ka payback Raruka ka tailor, area flani mwere anatepwa na ketepa Na after kuipepeta, make sure unaambia uyo bitch see you later Pereka pereka, unajionanga mzing kumbe we ni hater Makolo kwa mrenga na kuna jeshi imechafua bling hautapenda Na sijawahi ona mkeka tangu ramza but Jah ananipenda Patrol patrol kwa ndege (patrol) Mbaru na hata kanjo (yoh) Wiu, wiu, wiu naskia kuna murder ndani ya ploti (murder) Knock, knock, knock sato Kupeep naona DCI pon mi door (peep peep) Wiu, wiu, wiu naskia kuna murder ndani ya ploti Patrol, patrol kwa ndege (patrol) Mbaru na hata kanjo (yoh) Wiu, wiu, wiu naskia kuna murder ndani ya ploti (murder) Knock, knock, knock sato Kupeep naona DCI pon mi door (peep peep) Wiu, wiu, wiu naskia kuna murder ndani ya ploti (murder) Patrol patrol kwa ndege Wiu, wiu, wiu Wiu, wiu, wiu Patrol, patrol kwa ndege Wiu, wiu, wiu Wiu, wiu, wiu
Writer(s): Salim Ali Tangut Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out