歌詞

Brrt Eeh joh The art of war Never go to war in an empty stomach (Never never) Uki-abusiwa Rome juwa Rome ni ya Romans Kienyeji ako top ana miss tu romance Naeza icop lakini, hio ndom haina aroma Ndom yako hainanga aroma Hio ndom haina aroma Straight up na sipigi corner Nataka ndom ina aroma Ndom yako hainanga aroma Hio ndom haina aroma Straight up na sipigi corner Nataka ndom ina aroma Kuna baridi tuna freeze Ukame still, ma ng'ombe zinatoa ribs Mapedi wako biz wanakinda ma riz Wengine wana tuingiza na spliff Ilibidi niingie Eastleigh nikinde sling, at least nichukue ya stick Madiwa wame-stop mawada huko chini, nichi, chini kwa tips Scene, tukipiga tunahama Na tuna achanga hio dipo lawama (Lawama) Hatuna kakitu, laana tunarushianga fam' ya kamwana Nukisha kisanda landlord anamblein harufu ya marijuana Ooh sana, adi akatuma wife yake akam tu preachia Hosanna Chain huwa haipitishwi na nyuma Ngwai inapasiwangwa pande left Na ka uliskia ni rumours, ati uliona, ukanusa na huna evidence Zangu ni Quiver, Quiver, Reggae ikishika tunauguzanga picha Labda tukuwache negative, ambia Dj si ndio tulibeba ma mixer Never go to war in an empty stomach Uki-abusiwa Rome juwa Rome ni ya romance Kienyeji ako top ana miss tu romance Naeza icop lakini, hio ndom haina aroma Ndom yako hainanga aroma Hio ndom haina aroma Straight up na sipigi corner Nataka ndom ina aroma Ndom yako hainanga aroma Hio ndom haina aroma Straight up na sipigi corner Nataka ndom ina aroma Sidai makasiriko kaskie vibaya na huko Saa hii tukona Ruto Acha tuone kama atajaza ama atachimba hio loophole By the way nani alioa uko? Saa hii ningekuwa nimeivisha hio ngoso Tv yangu haijawai onwa mboso Laptop passcode joh hukuwanga local Niko tempted kuoa goshodo Ass na top yake, what a combo Mziza na uko kwa vyombo? Enyewe vita zingine ni za roho Anapenda kunirombosea, nika anataka mi nipigane na riong'o System ina force njaa Iliforce jam, ndio nikachukua Psalms Traffic cop hakumind though Hii record mtaichezea kwa vinyl Kuna chizi alishitia urinal Wanapenda nikiwatusi in high note (Umbwa!) Kesi ya weed pelekeni high court, kama mnaona ina wa appeal Si ndio ma white rhino, na sioni anytime kama tuta-go extinct Never go to war in an empty stomach Uki-abusiwa Rome juwa Rome ni ya romance Kienyeji ako top ana miss tu romance Naeza icop lakini, hio ndom haina aroma Ndom yako hainanga aroma Hio ndom haina aroma Straight up na sipigi corner Nataka ndom ina aroma Ndom yako hainanga aroma Hio ndom haina aroma Straight up na sipigi corner Nataka ndom ina aroma
Writer(s): Salim Ali Tangut Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out