歌詞

Ntalalaaa oohh Najuta oohh Najuta, mimi najuta Najuta, mimi najuta Najuta, mimi najuta (ooohhhh yea yea yea yeah) Najuta, mimi najuta Nilitega sikio mtaani kasikiza za wasengenyaji Eti yeye na yule wana uchumbaji Bila hata kujali Au kuuliza maswali Niliyaamini maneno nikamuaga kwaheri Miezi ni kadhaa ah ah Nami nalia ah ah Ningemrudia ah ah Lakini nna tatizo ooh Ntamwambiaje eti kuwa miye nampeza Ntamwelezaje eti bila yeye naugua Ntamjulishaje kuwa roho yangu yaumia Ntamwambiaje eh kuwa mimiye najuta Kukosana naye ooh kutengana naye Kuachana naye ooh mimi najuta Kukosana naye ooh kutengana naye Kuachana naye ooh mimi najuta Nilifunga virago vyangu vyote Kuamua sitorudi kamwe Kwani yeye na yule walinifadhaisha Lakini kila wasaa Napata nikimwaza Ningeyapuuza maneno tungeishi kwa raha Miezi ni kadhaa ah ah Nami nalia ah ah Ningemrudia aha Lakini nna tatizo ooh Ntamwambiaje eti kuwa miye nampeza Ntamwelezaje eti bila yeye naugua Ntamjulishaje kuwa roho yangu yaumia Ntamwambiaje eh kuwa mimiye najuta Kukosana naye ooh kutengana naye Kuachana naye ooh mimi najuta Kukosana naye ooh kutengana naye Kuachana naye ooh mimi najuta Nnaye anipendaye Na anifaaye Lakini hata afanyeje Halingani nawe Naomba msamaha Kwa kukukosea Wengi watasema Usiku watalala oohh Najuta, mimi najuta Najuta, mimi najuta Najuta, mimi najuta Najuta, oohh Ntamwambiaje eti kuwa miye nampeza Ntamwelezaje eti bila yeye naugua Ntamjulishaje kuwa roho yangu yaumia Ntamwambiaje eh kuwa mimiye najuta Kukosana naye ooh kutengana naye Kuachana naye ooh mimi najuta Kukosana naye ooh kutengana naye Kuachana naye ooh mimi najuta Najuta, najuta Juta, juta Yeah, yeah
Writer(s): Natasha Sanaipei Tande Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out