Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Marlaw
Marlaw
Performer
Lawrence Marima
Lawrence Marima
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Marlaw
Marlaw
Songwriter
Lawrence M Madole
Lawrence M Madole
Songwriter

Lyrics

Nipesa simu nibembeleze Hey Hey hello Ma Laiti ungekuwa unaniona Vile kila time nakonda nawaza Kama kukupata nitaweza Jinsi gani kukueleza Au mi sijui bembeleza Usinikatae utaniumiza Nakupenda kukutenda sitoweza Kila time nakuangalia usoni ma Sio kamaa nakosa neno kusema Ulivyo ma anafanya kosa kunena Ingawa moyo hautaki kunena tena Wazo kichwani lina beep (kukueleza) Ila vibaya ukinijibu (bembeleza) Nahisi sijui bembeleza Utakataa halafu mi utaniumizaa Kidesign nakuangalia usoni ma Kuna sign za kuita huko machoni ma Kitu fulani umehifadhi huko moyoni ma Unachotaka nianze mikusema Hapa unafanya nijione (nitashinda) Hapa unafanya nitamke (nakupenda) Ilaunacho jibu mdomoni nitofauti nausemacho machoni We Dada mi unaniumiza We dada sijamaliza Mbona unakata simu Please usikate ma Hey hey hello ma Laiti ungekuwa unaniona Vile kila time nakonda nawaza Kama kukupata nitaweza Jinsi gani kukueleza Au mi sijui kubembeleza Usinikatae utaniumiza Nakupenda kukutenda sitoweza Hello ma Laiti ungekuwa unaniona Vile kila time nakonda nawaza Kama kukupata nitaweza Jinsi gani kukueleza Au mi sijui kubembeleza Usinikatae utaniumiza Nakupenda kukutenda sitoweza Kati yetu imetawala rangi ya pinki (pink) Kitu ambacho moyoni siridhikii Nacho kuomba tuwe zaidi ya marafiki Inajionyesha machoni unaafiki Lugha ya macho kwa sasa (nakataa) Tataka tuongee ilitufikie (mwafaka) Oooh aaah, aaah Kwenye party ulikuja umependeza Kwenye traini ukaniomba mi kucheza Tukadance na macho umelegeza Ulinibamba nikaficha kukueleza Unanimaliza Mimi ninakweleza Minakupembeleza Baby please baby girl Vile unatamka Wewe kuona nataka Tuonge ana kwa ana Baby please baby girl We Dada mi unaniumiza We dada sijamaliza Mbona unakata simu Please usikate ma Hey hey hello ma Laiti ungekuwa unaniona Vile kila time nakonda nawaza Kama kukupata nitaweza Jinsi gani kukueleza Au mi sijui kubembeleza Usinikatae utaniumiza Nakupenda kukutenda sitoweza Hello ma Laiti ungekuwa unaniona Vile kila time nakonda nawaza Kama kukupata nitaweza Jinsi gani kukueleza Au mi sijui kubembeleza Usinikatae utaniumiza Nakupenda kukutenda sitoweza Hooow (hooow) Sasa kama (kama) Umenielewa mbona Unachelewa sana Nambie nije, nije sasa hivi Umenielewa mbona Unachelewa sana Nambie nije, nije sasa hivi
Writer(s): Brian Nguah Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out