Music Video

Niseme Nawe
Watch {trackName} music video by {artistName}

Credits

PERFORMING ARTISTS
Otile Brown
Otile Brown
Performer
Barakah The Prince
Barakah The Prince
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Otile Brown
Otile Brown
Songwriter

Lyrics

Waniona nakuangalia, Na tayari ushajua kuwa naitaka, yo Mimi ni mgeni huku na ata nilikotoka, Pia sijawahi ona kama yo, Nacho kiuno chako, unavyokizungusha roho yangu, Unairusha eh, unairusha oh mama, Mbona kuvava la mvuvi, Haya mambo yanahitaji uzira ya maji marefu hauyawezi Njoo udensi na mtoto mjini Kuvava la mvuvi, Haya mambo yanahitaji uzira ya maji marefu hauyawezi Njoo udensi na mtoto wa mjini PRE-CHORUS: Eti ukisonga nami ntasonga, Hutaki niguse, nayashakoma, Usiwe na wasiwasi ma, Mimi nitafuata na unavyofanya Eti ukisonga nami ntasonga, Nami ukinipa pia sitakataa Usiwe na wasiwasi ma, Mimi nitafuta unavyofanya Mimi nataka nipakate 'si yake Pakate 'si yake eh, Pakate 'si yake, Mpaka jua lichomoze Ila sasa limetoka sitojua, eeh x2 Mimi na wewe, eh eh eh x2 Mimi nahisi kama kuna sababu tunakutana, Mbona tunalingana, Mambo mengi tunalingana nawe, Basi taratibu usinikanyage, Nguo yangu usiichane, Nia yangu sio mbaya, Ninacho omba n' nafasi nikujue, Ohh ohh. Haya mambo yanahitaji uzira ya maji marefu hauyawezi Njoo udensi na mtoto wa mjini Uvava na mvuvi, Haya mambo yanahitaji nyuza ya maji marefu, hauyawezi Njoo udensi na mtoto wa mjini, PRE-CHORUS: Eti ukisonga nami ntasonga, Hutaki niguse, nayashakoma, Usiwe na wasiwasi ma, Mimi nitafuata na unavyofanya Eti ukisonga nami ntasonga, Nami ukinipa pia sitakataa Usiwe na wasiwasi ma, Mimi nitafuta unavyofanya [Mimi nataka nipakate 'si yake Pakate 'si yake eh Pakate 'si yake Mpaka jua lichomoze Ila sasa limetoka sitojua eeh] x2 Mimi na wewe eh ehe ehe x2 Eh nataka nikujue wewe Mimi nataka n'kjue Moyo wangu nikujue Sikatae niugue we
Writer(s): Jacob Obunga Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out