Music Video

Otile Brown - Kistaarabu (Official Video)
Watch {trackName} music video by {artistName}

Credits

PERFORMING ARTISTS
Otile Brown
Otile Brown
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Otile Brown
Otile Brown
Songwriter

Lyrics

Jinsi anavyo cheza nikama aninitega (no way) Macho yake yenye mvuto nikama ananiita (no way) Huo mdomo anavyo ung'ata pumzi inaniisha (no way) Kiuno nazi nazi anavyo katika (no way) Now she started blowing me kisses (Aaah) Kaja Mwenyewe kasema Hey Mr. would you hold my hands naomba nicheze na wewe Basi simama tucheze (kistaarabu kistaarabu) Nishike nikushike (kistaarabu kistaarabu) Katu usiniache (kistaarabu kistaarabu) Ah sema mina mpango na wewe Wala Usiwe na kiwewe Hapa nkaja mwenyewe Ila naomba niwe na wewe Kama huu nakuhitaji Sijui ukaja na Nani Ila naomba uwe nami " Uuh kumbe toto la kigogo, kigogo, Kigogo Up town ila chapo mandondo, mandondo, mandondo Kaanza kurukaruka tu kibobo, kibobo, kibobo Nikasema " hey hey am a classic man Niite mr gantleman Mbona husle man Tusije pakana jasho man Nikasema " hey hey am a classic man Niite mr gantleman Mbona husle man Tusije pakana jasho Basi simama tucheze (kistaarabu kistaarabu) Nishike nikushike (kistaarabu kistaarabu) Katu usiniache (kistaarabu kistaarabu) Mmh mmh marashi kwenye nyele zako Harufu ya ngozi yako Ina nipaga manjonjo Nimejikoki sio kidogo Mmh mmh marashi kwenye nyele zako Harufu ya ngozi yako Ina nipaga manjonjo Nimejikoki sio kidogo Basi simama tucheze (kistaarabu kistaarabu) Nishike nikushike (kistaarabu kistaarabu) Katu usiniache (kistaarabu kistaarabu) Simama tucheze (kistaarabu kistaarabu) Nishike nikushike (kistaarabu kistaarabu) Katu usiniache (kistaarabu kistaarabu) Simama tucheze (kistaarabu kistaarabu) Nishike nikushike (kistaarabu kistaarabu) Katu usiniache (kistaarabu kistaarabu)
Writer(s): Jacob Obunga Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out