Music Video

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Otile Brown
Otile Brown
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Otile Brown
Otile Brown
Songwriter

Lyrics

Kama riziki unatoa, basi ntakosa Ila kama ni mola lazima ntapata Ila kama ni mola lazima ntapata Bwana Shetani muongo, muongo we! Mbona umejawa na kinyongo ndugu we! Mbona umejawa na kinyongo ndugu we Bwana niambie wapi nilipokuudhi naomba uniambie Mana sio sawa kama we wanichukia Nia njema nlio nayo kwako ndo mafanikio Yangu Wakati mimi nakuombea mema, waniwazia mbaya ooh sio sawa Ooh so sawa Ooh dhamira yangu ndo nguzo yangu Ooh dhamira yangu ndo nguzo yangu Acha waseme, Acha waonge Acha waseme, Acha waonge Wewe unanichukuia ata zaidi unavojipenda Unafikiri nafikiri unavyofikiria mana nia zako sio njema Chochote nachofanya unanielewa makosa Lolote nachofanya unanihukumu vibaya Wapi nilipokukosea ningependa unieleze Wapi nilipokuudhi ningependa uniambie Maana sio sawa kama wewe wanichukia Nia ooh njema nlio nayo kwako ndio mafanikio yangu Wakati mimi nakuombea meme Waniwazia mabaya ooh so sawa Ooh dhamira yangu, ndo nguzo yangu Ooh wema Wangu ndo nguzo yangu Ooh wema Wangu ndo nguzo yangu Acha waseme, acha waongee Acha waseme, acha waongee Acha waseme, acha waongee Acha waseme, acha waongee
Writer(s): Jacob Obunga Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out