Music Video

Jux - Utaniua (Official Music Video)
Watch {trackName} music video by {artistName}

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Jux
Jux
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Jux
Jux
Composer

Lyrics

Iyeeeeei, iyeeeeeiiye, iyeeeeei Imekua asubuhi Uwanja wa mapenzi moyoni umechafuka Nami sitaki Kufagia upendo uende Ninajua yangu roho Ni ndogo ni ndogo hasa ikipenda-e Ndio maana ukiwa tofauti baby Unaniumiza ndani ndani (iyee) Bado najiuliza ni kipi sijatimiza Bado najiuliza ni kipi kinakuumiza Bado najiuliza ni kipi mi sijaweza baby Bado najiuliza ni kipi sijatimiza (haaa) Bado najiuliza ni kipi kinakuumiza (haaa) Bado najiuliza ni kipi mi sijaweza baby (haaa) Hey! Utaniua ua (haaaha) hey (haaaha) My baby utaniua ua (haaaha) hey (haaaha) Ooh utaniua ua (haaaha) hey (haaaha) Ooh baby utaniua ua (haaaha) hey (haaaha) Utaniua ua... Nilijichangachanga ilimradi upendeze (ha) Nikajibanabana ilinisijikweze (ha) Sikutaka kugombana nikupoteze baby Ilimradi niwe na wewe Kibaya zaidi (naumia na upendo wako my love) Ulisema mpaka kifo mama (ha) Tungelizikwa wote, (tungelifa wote) Ila unanikatisha tamaa (ha) Mimi sitaki uende Bado najiuliza ni kipi sijatimiza Bado najiuliza ni kipi kinakuumiza Bado najiuliza ni kipi mi sijaweza baby Bado najiuliza ni kipi sijatimiza (haaa) Bado najiuliza ni kipi kinakuumiza (haaa) Bado najiuliza ni kipi mi sijaweza baby (haaa) Hey! Utaniua ua (haaaha) hey (haaaha) My baby utaniua ua (haaaha) hey (haaaha) Ooh utaniua ua (haaaha) hey (haaaha) Ooh baby utaniua ua (haaaha) hey (haaaha) (We mama wee) unaniua ua (We mama wee) unaniua ua (We mama wee) unaniua ua (We mama wee) unaniua ua (We mama wee) unaniua ua (We mama wee) unaniua ua (We mama wee) unaniua ua (We mama wee) wewe... Unaniua ua (haaaha) hey (haaaha) Oh baby unaniua ua (haaaha) Wewe unaniua ua (haaaha) heiyeiye (haaaha) Unaniua ua (haaaha) mh-hei (haaaha) Unaniua ua Your love is the one Your love is the one I want your love Your love is the one You love is the one Your love is the one I want your love Your love is the one You love is the one Your love is the one I want your love Your love is the one You love is the one Your love is the one I want your love
Writer(s): Jux Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out