Music Video

Aslay - Natamba ( Official Music Video )
Watch {trackName} music video by {artistName}

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Aslay
Aslay
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Aslay
Aslay
Lyrics
PRODUCTION & ENGINEERING
Awadh Salim
Awadh Salim
Producer

Lyrics

Natamba, Natamba Aaa Kilicho nishawishi upole wako, na heshima yako Wazazi wangu wamekusifia sana kwa tabia yako Sura yako ya upole, inanivutia Shepu Twiga mwenda pole, najivunia Oh tupeane mapenzi iwachome(Eeee) Nakama namba waisome(Eeee) Hata tukigombana wasione(Eeee) Washike jembe wakalime(Eeee) Mapenzi mazuri wakutane wawili wanaopendana Usizidishe washauri, watasababisha tuje kugombana Aaaaae! angalia shepu, Aaaaae! Ka-Wema Sepetu Aaaaae! Angalia jicho, Aaaaae! Hamissa Mobetto Aaaaae! Karangi kake, Aaaaae! Elizabeth Michael Aaaaae! Yani we mrembo, Aaaaae! Walah nachukua jiko We ndio wangu wa milele Nauza dagaa, ili ninunue motorcar nikuridhishe Unanipa furaha, na nguvu ya kusaka chapaa nisikuangushe Unanyota ya Adam na Hawa(Ohooo), Tunavyopendana Hata wakituchukia ni sawa (Ohooo), Tuaminie Mama Wanaona umenipa dawa (Ohooo), wanaongea sana Chunga usije kuota mbawa (Ohooo), Ukaniachaga kilema Katabiri pweza penzi litafika mbali, Nacheka kiingereza Ndio maana nacheza ya watu natupia mbali, Mh Jamani Katabiri pweza penzi litafika mbali, Kwakweli hamtoweza Ndio maana nacheza ya watu natupia mbali Basi baby nikumbatie mama Aaaaae! angalia shepu, Aaaaae! Ka-Wema Sepetu Aaaaae! Angalia jicho, Aaaaae! Hamissa Mobetto Aaaaae! Karangi kake, Aaaaae! Elizabeth Michael Aaaaae! Yani we mrembo, Aaaaae! Walah nachukua jiko We ndio wangu wa milele, milelee
Writer(s): Aslay Isihaka Nassoro Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out