Music Video

Otile Brown - Aje Anione (official video )sms skiza 7300507 to 811
Watch {trackName} music video by {artistName}

Credits

PERFORMING ARTISTS
Otile Brown
Otile Brown
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Otile Brown
Otile Brown
Songwriter

Lyrics

Oooh Ooh baby, ooh baby Naamini kila binadamu ana ubaya na uzuri wake, baby Mmmh Naamini kila binadamu ana madhaifu yake Ooh baby Mmmh Nami yangu nayajua na nakabiliana nayo Ila mwenzio sitojua kwa kosa la kuumiza moyo wako, ooh nisamehe Tena najuta, najuta eeh Aah, yalonikuta Kazi ya ibilisi mama Tena usiku silali Labda nilewe chakari Ama nilale mama na picha yako kifuani Ndo nijisuku nami je unaniwaza Mmh baby Ama tamaa kwangu ulishakata Aje anione, aje akanione Aje anione, aje anione Aje akanione, aje anione Aje anione, aje anione Aje anione, aje anione Aje anione, aje anione Aje anione ne ne ne ne Aje anione ne ne ne ne Aje anione Wajua ninakukosa sana, hasa giza linapotanda Mi mahututi Mi mahututi Wajua nmekuzoea mama, nakuhitaji leo zaidi ya jana Na endapo utachelewa mama Mi maiti Eeeh Tena najuta, najuta eeh (Mamaa) Yalonikuta Kazi ya ibilisi mama Tena usiku silali Labda nilewe chakari Ama nilale (mama) na picha yako kifuani Ndo nijisuku nami Je unaniwaza Mmh, baby Ama tamaa kwangu ulishakata Aje anione, aje akanione Aje anione, aje anione Aje anione, aje anione Aje anione, aje anione Aje anione, aje anione Aje anione, aje anione Aje anione ne ne ne ne Aje anione ne ne ne ne Aje anione
Writer(s): Jacob Obunga Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out