Lyrics

Senorita Huyu ni Lenny Mamacita Homeboyz ah! Production Huyu ni Lenny Musyoka weka hio kick Nasema leo Nitahakikisha Leo Lazima atakuwa wangu Nasema leo Nitahakikisha Leo Lazima atakuwa wangu Mara ya kwanza nilipomcheki Kwa kweli ndugu mimi sikuamini Lakini brother mimi sikusleki Nikaamua mi nikajitahidi Muda si muda mi nikainuka Roho juu kama ile ya simba Bila shaka basi nilifika Wangu mkono na mimi nikampa Haki ya nani anaua (Ameumbwa kweli akaumbika) Haki ya nani ana sura (Mi sikufichi kweli anapendeza) Nikasema niaje Akasema ni fiti Mambo ni vipi Akasema ni freshi Ole wangu huku mimi niliomba tu Kwamba atajipa Nasema leo Nitahakikisha Leo Lazima atakuwa wangu Nasema leo Nitahakikisha Leo Lazima atakuwa wangu Mara tu tuliposhajuana Nikatafuta njia za kukatia Nikamwuliza kama ana boyfriend Akanijibu ye hajafanikiwa Nikamwambia dada usijali Chaguo lako kweli limewadia Akanicheki akapiga smilie Siku yangu kweli imewadia Haki ya nani anaua (Ameumbwa kweli akaumbika) Haki ya nani ana sura (Mi sikufichi kweli anapendeza) Nikamwuliza niaje Ungependa kudensi Akasema oh, yes please Simindi kudensi Kufika hapo sasa mimi nikajua Kwamba amejipa Nasema leo Nitahakikisha Leo Lazima atakuwa wangu Nasema leo Nitahakikisha Leo Lazima atakuwa wangu Nilijaribu bahati yangu one time Nikajaribu bahati yangu two time Nikajaribu bahati yangu three time Na sasa ni wangu nasema Nilijaribu bahati yangu one time Nikajaribu bahati yangu two time Nikajaribu bahati yangu three time Na sasa ni wangu Sasa yeye ni wangu, ni wangu Unaona vipi? Sasa yeye ni wangu, ni wangu She's the only one for me Sasa yeye ni wangu, ni wangu Unaona vipi? Sasa yeye ni wangu, ni wangu Na mimi siringi Nasema leo Nitahakikisha Leo Lazima atakuwa wangu Nasema leo Nitahakikisha Leo Lazima atakuwa wangu Nakwambia, nakwambia Nakwambia ni wangu sasa Nakwambia, nakwambia Nakwambia ni wangu sasa Nakwambia, nakwambia (wewe) Nakwambia ni wangu sasa Nakwambia nakwambia Nakwambia ni wangu sasa
Writer(s): Stephanie Marie Rainey Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out