Lyrics

Check check check 8 town 8 town Classy classy Pizzo da King and know it King and know it King and know it Nikirudi cheki capital Toka ghetto mi si babi joh Rada chafu buda kaa rido Gang gang itaku carry doh Bob bob ita collymore Kokohora mimi ni horrible Niko mbele cheki horizon Lamba lolo pewa lollipop Bob Marley tuko corridor Wanyama wengi cheki pori bro Pizzo da king ngori yoh Fuck popo mi ni radicle Ambia pastor a bow down Nikitema mi ni cardinal Mdogo mdogo hii ni cardio Between mimi hii ni Opiyo Massu tozalaki kotambola eeh Tozalaki misato na groupe Zikishika wika wagwan (Eeeh eeh eh eh) Zikishika wika wagwan (Zikishika zikishika zikishika) Zikishika wika wagwan (Wika wika wika wika wika) Zikishika wika wagwan Chura mbaya wewe ni tadpole Sura mbaya lakini debe joh Ramadhan shingo body lock Kura iba lakini sembe no Niki pull up toka nduthi yoh Chini ya maji pewa sushi mob Black china anataka kunirob Niko mbele yao sana Wanipati hata dawa Bob Marley na Versace Pewa moshi miti dawa Mko maji kila siku Mimi juu mi shower Kabla uoge kwanza manga Stay fly ni mabawa Niki land wana gwaya Massu tozalaki kotambola eeh Tozalaki misato na groupe Zikishika wika wagwan (Eeeh eeh eh eh) Zikishika wika wagwan (Zikishika zikishika zikishika) Zikishika wika wagwan (Wika wika wika wika wika) Zikishika wika wagwan Vintage hii ni kaya Zako sawa zangu mbaya Daresalaam mi ni London Paris fashion cheki pattern Zikishika wika wagwan Kiti shika kawe wanywa Fiti sima kawe wala Nchi nzima mi na tajwa Light skin we ni walach Hii ni jela skiza barz man Seti vela shika lighter Mi kushoto mirror right man Chini ya waba mi ni titan Saa mbaya cheki timeline Nikichana mi makosa Mi mnyamwezi bila Cosign Niko wavy zenyu low tide Hamniwezi soma profile Daily booked mi ni locker Cheki boot zangu lowCuT Zikishika wika wagwan Zikishika wika wagwan (Zikishika zishika zikishika) Zikishika wika wagwan Zikishika wika wagwan (Zikishika zishika zikishika)
Writer(s): Alan Mensah Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out