Lyrics

Is it just me bro mi sipendi noodles Alisend nudes through mail drive google Is just me hizi fisi zinadrool Anastain mic mate inajaza pool Is it just me tu sijaomoka juu ya nduru Unaogopa the ex unakuliwa na ndugu Is it just me na Hizi vako za mahuru I guess hiyo ni Swali Huwa tunajibu na vurugu Shughuli za kuknock anadai kuenter soul Tulikua mbogi sai anarun sol Walitiwa shaka Saka akafunga goal Watu wa United kampuni ya mkate I guess it's only me sinaga fake air force Mi na wao hatupatani kama mulamwah na jokes Chances kunicheza Huwaga slim Ka kwambox Ni Ngumu mi unipate juu ya kiatu bila socks Alishika ball kwa kampuni ya latex Ukikuja kwangu toa njuti kuna carpet Is it just me siku hizi anakaa pet Telegram nudes zako umeGazette Is it just me Kila mtu Ako depressed After Georgina ku-jenga-na Baha anaregret Is it just me huwezi niteka na text Aliniuliza my name naitwa sahau and forget Is it just me akinywa coffee amezabwa Ameenda Buffett akakula mara saba It's just me ama ni story za jaba Walimseti mchele hazijashuka tangu jana Is it just me breko anakula saa saba Anakula jaba usiku anahata supper Is it just me frontline kujigamba Na si tukifika wanasafisha kiwanja Is it just me siku hizi Rono ameslim Light at the end of the tunnel imedim Macho hugeuka red Kila time si Hugo green Yea I'm 23 but nawaonea 18 Is it a sin ka Shin nikichafua scene Red flag juu ticks nilimwacha on seen Which means kijana mi ni mean Huku unanyimwa shoulder huezi piga lean Huwezi piga lean basi fika Bei ya Gin Anaspin bean nika anasermon jinn Is it just me sinaga adi next of kin Wako chini kama caption si tunachafua scene Siezi peana head mi huwanga tongue tied Mimi sikatai mimi ndo nilicut ties Heri niburn bridge na nyongi ya Tire Unaspeak loosely nika uko na spillage Denge Akona accent Ako like rire Nina urban bites shika peleka in the village Usijiite bestie na hunitumiagi tires iIlianza Kama therapy saizi Tuko addicted Is it just me akinywa coffee amezabwa Ameenda Buffett akakula mara saba It's just me ama ni story za jaba Walimseti mchele hazijashuka tangu jana Is it just me breko anakula saa saba Anakula jaba usiku anahata supper Is it just me frontline kujigamba Na si tukifika wanasafisha kiwanja Is it just me
Writer(s): Brian Salaton Lemaindo, Joseph Nyamwea Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out