Lyrics

Wangechi Skia, kwani ni kesho? Cheki, kwani ni kesho? (Big Beatz Afriq) Namba uno, namba uno Yeah yeah M-R-R-I-G-H-T Allow me kwanza nijiintroduce Bad bitch naeza kukuseduce Flow ni tamu utadhani juice Kumbe ni ya Sewer ninamisuse Nyi' mnanisaka, mnatafta who? Mi natafta ganji niongeze boobs Hii ni sure siwezi assume Mama driller na hii game inahitaji lube Huniwezi we rudi gym Hio si foreign si ukidim Ati Wangechi where have you been? Mi ni malgan safi clean Watagwan, washa bhang, mashetan Watahang, Tusker can, on my hand, ni ya mafan Munamess na independent girl Tunaiwacha iende calm Umenikufia kufa, niliwarn huyu buda asinipende sann— Nataka chali Omanga, ananiwacha ka Millicent kwa kitandd— Is that your rapper? Mi ndio nilifanya abaki fan Of course hunipati kama si payday Gish ndio unipate, grab your ticket Still demanding street cred Kama si uradi gotire Malgan safi, shika mamdihe Shika madurban, shika matire I can't wait hio mzigo ifike Of course hunipati kama si payday Gish ndio unipate, grab your ticket Still demanding street cred Kama si uradi gotire Malgan safi, shika mamdihe Shika madurban, shika matire I can't wait hio mzigo ifike How many times tumemada GTA, B-Boyz ni ma-mission passed I ain't no killer but don't push me cheki huyu mnigga anataka tu-curse Big sis vile ashawashow kukichacha ni one call na gang inaburst Oh no wamepiga ma-stainless steel hizi zetu they can't get rust Qualified things, certified things, hizi side hatucopy mabeats Bro, nyi' ni wakidi hizi meds ziko out of reach Under 18, kaa bench you are under 18, son Skiza, I don't play with under 18's Sound unaskia ni freshi, kwa track na Queen Wangechi Kwa rap mi ni chizi freshi hah, kwa ground mi mtoto wa Messi, hah Hah, usilete udead, hah, usilete udead Tunakill ka Hessy Of course hunipati kama si payday Gish ndio unipate, grab your ticket Still demanding street cred Kama si uradi gotire Malgan safi, shika mamdihe Shika madurban, shika matire I can't wait hio mzigo ifike Of course hunipati kama si payday Gish ndio unipate, grab your ticket Still demanding street cred Kama si uradi gotire Malgan safi, shika mamdihe Shika madurban, shika matire I can't wait hio mzigo ifike Two weeks ndio drop ifike Seal hio shit ndio ndom isiskike Aress chains wako hio drop iskike Show tunabonga from quarter ticket Allow me pagan listen Niko kwa trap sitoki inje (Yo! yo!) Nina ma loud na si za finje Get your smoke kabla nizikinde Bad B anadai nikinye Confirm mali kabla uitise (Confirm) Nang'am vako za ground Nalink na maplug kabla niitishe Na-na-na re-up tena ka-ka-ka-kabla ziishe Nabring hio smoke hakuna hata haja nijikishe Tuko '58 joh na maflavor man KiCali juu ya hewa man We request '58 flavor man Utapewa man Tuko '58 na maflavor man KiCali juu ya hewa man We request '58 flavor man Utapewa man Of course hunipati kama si payday Gish ndio unipate, grab your ticket Still demanding street cred Kama si uradi gotire Malgan safi, shika mamdihe Shika madurban, shika matire I can't wait hio mzigo ifike Of course hunipati kama si payday Gish ndio unipate, grab your ticket Still demanding street cred Kama si uradi gotire Malgan safi, shika mamdihe Shika madurban, shika matire I can't wait hio mzigo ifike
Writer(s): Wangechi Waweru Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out